Story ya kweli: Vijana tujifunze kuchunguza wachumba kabla ya kuwageuza kuwa wake

Anauza nyumba ili ampe huyu mwanamke pesa!? Asifanye hivyo hiyo nyumba na mali zote ni za watoto alitakiwa aendelee na kesi ili huyo mkewe afungwe..
 
Natarajia kuingia kwenye maisha ya ndoa mwakani. Ila hizi mambo hizi zinanitisha sana,ukisema uwe muwazi Kwake ndo kama iv ukisema umfiche utakutana na kero zingine.
 
Afsa wa jeshi yuko ndani ya combat na vyeo vyake kaenda kulewa navyo kwa dada yake...
Kingine kalewa yuko tungi na anaamka anapambana na vibaka.....(wakati huo yuko tungi kumbuka) na analaza chini 2 alafu 2 wanakimbia...(ngoja ni cheke kwanza) alafu
Kingine kama ni afsa wa jeshi na anajulikana hapo mtaani hakuna kijana mwenyeji mwenye ujasiri huo wa kwenda kuingia kichwa kichwa hivyo..
Any way endeleeni kwanza wacha nifute fute gari mie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haya sasa, mwanamke kakosa mume msomi mwenye kazi yake na pesa zake kwasababu ya upumbavu wake mwenyewe, wakati huo huo kuna wanawake wanahitaji waume wa kuwao ila hawawapati,

na wanawake wengine wamefkia hatua ya kukosa hata vijana/wanaume wa kuwapa tu ile salamu ya mambo dada, mambo mrembo. Ila yeye alipata wa kumuoa kabisa lakini kwa upumbavu wake akajiaribia mwenyewe.

Ama kweli mwanamke mpumbavu ataivunja ndoa yake mwenyewe.
 
kaka yangu ana miaka 49 hana mke,anaishi na watoto wake wa3 alozaa nje.anadai furaha yake ni hai watoto

nilimuuliza kuhusu mbususu akadai Kuna mwanamke anampatia
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom