Ziara ya Lissu katika nchi za America na Ulaya si tu zimewaamusha baadhi ya watu ambao hawakutegemea kuwa angepona bali imeishitua serikali zima ya Tanzania.
Kilichoishitua zaidi sio mihadhara ya wazi na mahojiano anayofanya Lissu na baadhi ya vyombo vya habari, bali ni mazungumzo yanayofanyika nyuma ya pazia kati yake na baadhi ya maofisa wa serikali na baadhi ya watu mashuhuri, mazungumzo ambayo hayawekwi wazi.
Baadhi ya watu anaokutana nao wanakiri wazi kuwa wanayosikia kutoka kwa Lissu hawakudhani yanaweza kufanywa na serikali ya Tanzania na wameahidi kusaidiana na watanzania kurudisha demokrasia na kuheshimu haki za binadamu ndani ya Tanzania.
Hon. Lissu with Bradley James Sherman an American politician serving as a Democratic member of the United States House of Representatives.
Hon. Tundu Lissu and his wife Alicia in a photo with Scott Busby, Deputy Assistant Secretary for the Bureau of Democracy, Human Rights & Labor at US Department of State.