Story inside a story about Lissu's visits, yaliyo nyuma ya pazia.

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
18,554
2,000
Ziara ya Lissu katika nchi za America na Ulaya si tu zimewaamusha baadhi ya watu ambao hawakutegemea kuwa angepona bali imeishitua serikali zima ya Tanzania.

Kilichoishitua zaidi sio mihadhara ya wazi na mahojiano anayofanya Lissu na baadhi ya vyombo vya habari, bali ni mazungumzo yanayofanyika nyuma ya pazia kati yake na baadhi ya maofisa wa serikali na baadhi ya watu mashuhuri, mazungumzo ambayo hayawekwi wazi.

Baadhi ya watu anaokutana nao wanakiri wazi kuwa wanayosikia kutoka kwa Lissu hawakudhani yanaweza kufanywa na serikali ya Tanzania na wameahidi kusaidiana na watanzania kurudisha demokrasia na kuheshimu haki za binadamu ndani ya Tanzania.

IMG_20190209_131123.jpg

Hon. Lissu with Bradley James Sherman an American politician serving as a Democratic member of the United States House of Representatives.

IMG_20190209_130909.jpg

Hon. Tundu Lissu and his wife Alicia in a photo with Scott Busby, Deputy Assistant Secretary for the Bureau of Democracy, Human Rights & Labor at US Department of State.
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
3,991
2,000
Ziara ya Lissu katika nchi za America na Ulaya si tu zimewaamusha baadhi ya watu ambao hawakutegemea kuwa angepona bali imeishitua serikali zima ya Tanzania.

Kilichoishitua zaidi sio mihadhara ya wazi na mahojiano anayofanya Lissu na baadhi ya vyombo vya habari, bali ni mazungumzo yanayofanyika nyuma ya pazia kati yake na baadhi ya maofisa wa serikali na baadhi ya watu mashuhuri, mazungumzo ambayo hayawekwi wazi.

Baadhi ya watu anaokutana nao wanakiri wazi kuwa wanayosikia kutoka kwa Lissu hawakudhani yanaweza kufanywa na serikali ya Tanzania na wameahidi kusaidiana na watanzania kurudisha demokrasia na kuheshimu haki za binadamu ndani ya Tanzania.

View attachment 1017671
Hon. Lissu with Bradley James Sherman an American politician serving as a Democratic member of the United States House of Representatives.

View attachment 1017672
Hon. Tundu Lissu and his wife Alicia in a photo with Scott Busby, Deputy Assistant Secretary for the Bureau of Democracy, Human Rights & Labor at US Department of State.
Hilo ndolilikua linakosekana katika siasa za Tz kwa kujificha katika uzalendo wakati maovu yakila aina ya natendeka na viongozi wetu.....sasa niwakati dunia ijue kwamba watznia ni watu wavumilivu sanaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
4,675
2,000
Huyo Mke wa Tu ndu Lisu anatumiwa tu, akihitajika tunamuona, asipohitajika anafichwa, hata hivyo anaonekana ni mama mzuri bila shaka Tu ndu Lisu alitafutiwa.
Juzi kati nilisoma histotia ya vita vya pili vya dunia. Daaaaaaaahhh, sikuamini nilipoiona maana hili jina lako.
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
13,040
2,000
Inasikitisha saana Serikali inaacha Kujibu hoja Inamshambulia TL! Balozi Masilingi ndiyo alidata kabisa!

Mbinu za Jiwe za Kuendesha Nchi Kidikteta zimeshindwa ni bora aruhusu Demokrasia ichukue Mkondo wake!
Sijui alleg ya nini na democracy ?!. Lakini sababu ni kubwa. Hesabu za Lubuva zilirekebishwa sana. Hivyo hana imani na wananchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sheiza

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
5,124
2,000
Aisee kweli nyumbu ni chakula ya mamba..wazungu hawana kawaida ya kusikiliza umbeya..eti ameongea nao mengine hayafai kuwekwa..wazungu wana trusted sources za information ambazo hazina mashaka..na ndio maana unaona pamoja na kuondoka balozi wa eu juzi kaja mwingine..
Hawana shaka na mwenendo wa magu..huyo anavyoongea tu unajua kichwa chake kibovu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpembakizinga

Member
Sep 23, 2018
61
125
Kazi IPO wabunge ,mabalozi,wakuu Wa mkoa,mawaziri,msemaji Wa serekali,spika,wanachama maslai kwa magufuli,wote wanamnanga lisu ila kilio kikizidi maiti anakaribia kwenda zikwa
 
MTK

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
8,264
2,000
Huyo Mke wa Tu ndu Lisu anatumiwa tu, akihitajika tunamuona, asipohitajika anafichwa, hata hivyo anaonekana ni mama mzuri bila shaka Tu ndu Lisu alitafutiwa.
Ndio nini sasa hiyo au hukuelewa mada?
 
edwayne

JF-Expert Member
Apr 5, 2013
4,793
2,000
Aisee kweli nyumbu ni chakula ya mamba..wazungu hawana kawaida ya kusikiliza umbeya..eti ameongea nao mengine hayafai kuwekwa..wazungu wana trusted sources za information ambazo hazina mashaka..na ndio maana unaona pamoja na kuondoka balozi wa eu juzi kaja mwingine..
Hawana shaka na mwenendo wa magu..huyo anavyoongea tu unajua kichwa chake kibovu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Lini umewahi kuishi na mzungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
35,921
2,000
NASIKIA AMEITWA ICC AWAPE FIRST HAND INFORMATION KUHUSU MAUAJI YANAYOENDELEA HAPA
Retired mimi ni muumini mkubwa wa dini na nayaamini sana maandiko. Hii hadithi ya jiwe na utawala wake inanikumbusha kuhusu mfalme aliyeonyeshwa maandiko ukutani MENE MENE TEKELI NA PEREZI na akashindwa kutafsiri hadi alipokuja kutafsiriwa na Danieli kuwa Utawala wake umekwisha na kufitinika.
Hayo ndio yaliyopo sasa, hebu angalia kufitinika huku ambako watu hawataki kuukubali ukweli tena viongozi wa juu kama Spika na mawaziri waandamizi wana mdanganya kuunga mkono mamabo yake wakati sio kweli. Ndio fitinika hiyo na kuisha ni kukwama kila afanyacho
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
24,872

Hakuna wa kumwambia ukweli kuwa hapa si sawa. Chakaza , kuna mtu now retired, nimekutana naye akasema walikuwa wanalala chumba kimoja na Jiwe. Akasema hii ni tabia yake ya ukaidi na ubabe si ya leo. Akasema aliwahi kumtandika kisawasawa akaponea chupuchupu kufukuzwa shule. Hawa Mawaziri njaa zao zinawafanya wawe mabubu. It is very strange kuwa watu wanamshangilia dikiteita. Mimi nimeandika sana humu kuwa Idd Amin watu walikuwa wanaimba mapambio ya kumsifu wakati huo maiti zinaelea mto Kagera. Nilikuwepo, ninaona si ya kuambiwa. Nilikuwa Uganda, baada ya kuona mauaji yamekithiri, kama watanzania tukaamua kurudi nyumbani. Waganda walikuwa wanaimba mapambio, siyo kuwa wanampenda, bali walikuwa na hofu, kuogopa kuuawa etc. Ndio Spika na mawaziri na wanafiki wa chama chake!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom