STORI YA KUGUSA SANA!


Red Scorpion

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Messages
5,713
Likes
3,206
Points
280
Red Scorpion

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2012
5,713 3,206 280
Mtoto mmoja akiwa anatoka shule akielekea nyumban aliona paka mdogo akiwa amekufa. Akamsogelea na kumgusa kwa huzuni. Akamgusa tena, akamgusa tena, akamgusa tena, akamgusa tena, akamgusa tena, akamgusa tena...... Kama nlivyosema stori ni ya kugusa sana.
 
Capt Tamar

Capt Tamar

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Messages
8,430
Likes
5,981
Points
280
Capt Tamar

Capt Tamar

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2011
8,430 5,981 280
Kweli naona hata wewe bado unaguswa!! Kwa stori hii
 

Forum statistics

Threads 1,236,340
Members 475,106
Posts 29,254,803