Ignorance,eti unakuta mtu anamuua mtu hali nae ni marehemu mtarajiwaSijui huwa tunaringia nini sisi binaadam? Maisha yetu yaweza badilika ama kukoma kabisa ndani ya milisecond!
Hata wangu ana mvuto....kusifia si dhambiUmechelewa wapi dada yangu hadi wajanja kuwahi
Si dhambi my dadaHata wangu ana mvuto....kusifia si dhambi
Abee!! Siku hizi nimekuwa mvivuu kusoma hizi story.
Acha kabisa Mungu yupo. Mimi Kuna mwaka nilipata shida nikamuomba Mungu usiku kesho yake Mungu akajibu kwa kishindo mpaka nikaogopa kweli nikanyamaza kimya.Mungu ni mkubwa mnooo
Aache kulia-lia. Anafanya kazi na anapata mshahara kila mweziWekeni Namba na jina litakalotokea tafadhali
Msalimie sana
Dahh🙌🏽
Wtf is wrong wt uAache kulia-lia. Anafanya kazi na anapata mshahara kila mwezi
Handle yake Instagram ni: Kankwi wa KankwiThe Sheriff
huku JF tunampa pole huyu Mcharo Mpare kwanini usitupe hilo jina huko Instragam tukampee hukohuko?
nimetfuta Mcharo hapatikani
Kwakweli ni stori nzuri ambayo niliona inaweza kutusaidia sote ndiyo maana nikaipanga vyema na kuiweka humu kwa manufaa ya wengi.Pole sana kiongozi, hakika umepambana sana kwenye safari yako ya maisha hadi kufikia sasa. Katika stori yako kuna mengi umeyafanya ambayo hata wasio walemavu hawawezi kufanya. Kuna mengi ya kujifunza kupitia stori yako.
Duh nashukuru nimempata huko InstraHandle yake Instagram ni: Kankwi wa Kankwi
Hakika!Kumtumaini Mungu kuna faida sana