Stori ya David Masha: Ajali iliyompa ulemavu wa kudumu, kukubali matokeo na kutokata tamaa

Jamaa ni mwamba kweli.
Niliwahi kukutana na David miaka mingi iliyopita kabla hajakumbana na haya matatizo, ilikuwa kwenye hustle fulani za kimaisha, jamaa alikuwa na juhudi kubwa mnoo kwenye michezo, mtu wa kujichanganya sana na watu, akili kubwa na mademu walikuwa wanamtamani sana!
 
Pole sana kiongozi, hakika umepambana sana kwenye safari yako ya maisha hadi kufikia sasa. Katika stori yako kuna mengi umeyafanya ambayo hata wasio walemavu hawawezi kufanya. Kuna mengi ya kujifunza kupitia stori yako.
Kwakweli ni stori nzuri ambayo niliona inaweza kutusaidia sote ndiyo maana nikaipanga vyema na kuiweka humu kwa manufaa ya wengi.
 
Daaa interesting!

Yaani kitu imekaa Kama sinema flani Hivi David ni Kama stering wa movie la kutisha mwisho anakua Shujaa

Huyu mwamba hakika nimemfanya kua icon wangu aisee

Big up Mr David
 
Handle yake Instagram ni: Kankwi wa Kankwi
Duh nashukuru nimempata huko Instra
1623766002055.png
 
175 Reactions
Reply
Back
Top Bottom