Stori ya David Masha: Ajali iliyompa ulemavu wa kudumu, kukubali matokeo na kutokata tamaa

kalonji

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
6,327
2,000
Tunahimizwa tuwatembelee wagonjwa na kupalilia makaburi hii Ina maana kubwa Sana kwetu usaidia kuondoa kiburi na roho ya majivuno
 

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
7,414
2,000
Jamaa ni mwamba kweli.
Niliwahi kukutana na David miaka mingi iliyopita kabla hajakumbana na haya matatizo, ilikuwa kwenye hustle fulani za kimaisha, jamaa alikuwa na juhudi kubwa mnoo kwenye michezo, mtu wa kujichanganya sana na watu, akili kubwa na mademu walikuwa wanamtamani sana!
 

Black Walker

Member
Oct 8, 2018
44
125
Pole kwa changamoto ulizopitia kaka, ni makala inayoelimisha sana. Binadamu tunapaswa kupenda na kujaliana. Mungu akutangulie katika ndoa yako.
 

The Sheriff

JF-Expert Member
Oct 10, 2019
365
1,000
Pole sana kiongozi, hakika umepambana sana kwenye safari yako ya maisha hadi kufikia sasa. Katika stori yako kuna mengi umeyafanya ambayo hata wasio walemavu hawawezi kufanya. Kuna mengi ya kujifunza kupitia stori yako.
Kwakweli ni stori nzuri ambayo niliona inaweza kutusaidia sote ndiyo maana nikaipanga vyema na kuiweka humu kwa manufaa ya wengi.
 

Dumas the terrible

JF-Expert Member
Jan 20, 2021
1,982
2,000
Daaa interesting!

Yaani kitu imekaa Kama sinema flani Hivi David ni Kama stering wa movie la kutisha mwisho anakua Shujaa

Huyu mwamba hakika nimemfanya kua icon wangu aisee

Big up Mr David
 

Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
12,846
2,000
Handle yake Instagram ni: Kankwi wa Kankwi
Duh nashukuru nimempata huko Instra
1623766002055.png
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom