Storage ya makontena ya makinikia

Emmadogo

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
4,126
3,751
Swali jamani kwa walio na ujuzi wa costs za Storage ya makontena kwenye hizi private storage facilities
Mpaka sasa Serikali itakuwa imelipa kiaso gani kwa kuhold hayo makontena ya Acacia?? Maana mengine yapo huko....
 
hizo nadhani zitakuwa zao. ndio maana walisema wanapata hasara bilioni mbili kwa siku tangu kontena zilipozuiwa...
 
Tushachoka na story zao za makinikia hebu serikali ijikite kuwaokoa wakulima wa mbaazi .....hali si shwari wakulima wa mbaazi wanapiga nazo picha tu mbaazi zaoo

Ova
 
hizo nadhani zitakuwa zao. ndio maana walisema wanapata hasara bilioni mbili kwa siku tangu kontena zilipozuiwa...
Sidhani kama wao ndio wanatakiwa kuzilipa maana muda wao ulishapita na walipotaka.kuzitoa serikali ndio imezizuia.
 
Back
Top Bottom