Stiegler’s Gorge kuanza kujengwa rasmi

Serikali imekabidhi rasmi mkandarasi eneo kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa bwawa la kuzalisha umeme ‘’Stiegler’s Gorge’’. Hii inatoa njia kwa mkandarasi kuanza kazi rasmi ambayo itaongeza zaidi ya Megawatts za 2,100 za umeme kwenye gridi ya kitaifa.

Serikali imetenga Shilingi bilioni 700 kutoka vyanzo vya mapato ya ndani katika mwaka wa fedha 2018/2019 kwa ajili ya kutekeleza mradi huo.

Eneo la ujenzi wa maradi huo lilikabidhiwa rasmi kwa mkandarasi, Arab Contractors Company ambayo itafanya kazi kwa kushirikiana na kampuni ya EI Swedy na kukamilisha mradi huo mwaka 2022. Bwawa hilo litakuwa kubwa zaidi Afrika, na la kwanza katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, ambalo litakuwa na uwezo wa kutunza maji yenye ujazo wa lita bilioni 3.3, pia litasaidia katika kukuza kilimo cha umwagiliaji.

Mradi huo utakapokamilika utaondoa tatizo la uhaba wa nishati ya umeme nchini
Gesi imefikia wapi mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna asiyejua umuhim wa umem hata hivy huwezi kupeleka rasilimali karibu zote kwenye umem wakat kuna matatizo lukuki, nimekupa mfano ethiopia ambao wanazalisha zaid ya wanavyohitaj unaonaje ustawi wao wa maisha???Kwa kuwa mivuvuzera hamuhitaji matumizi ya akili ni kushangilia kama mizombie vile.Hilo tren la umem lipo ethiopia fifteen years back,issue hapa ni ufupi wa kufikiri wa kushindwa kujua kipi kinatakiwa kianze,eti ooh mkulima atasafirisha kwa uraisi,nani kakwambia matatizo ya wakulima ni usafir,kwenda wapi?Hivi korosho kwa sasa inahitaji treni ya umem kupeleka wapi?Hivi kipi kinaanza kiwanda au malighafi, hivi unaweza kujenga kiwanda alafu unaanza mipango ya malighafi?
Tatizo kubwa la awamu hii ni matumizi kidogo ya akili katika kufanya maamuzi ya kutengeneza kipaumbele,mambo yanafanyika kienyeji tu, na bahati mbaya sana wanaomsaidia malaika ni wanafiki,washangiliaji na wapiga vigeregere tu hakuna matumizi ya akili zaidi kukubali lolote linaloamuliwa na malaika,ni jambo la ajabu sana!!!
mitigator, typical mindset ya mbongo. Hakuna jema linalofanyika. Treni ya umeme ikikamilika, mimi nitakwenda kwetu Kagera ndani ya siku moja na inayofuata nageuza kurudi Dar.

Ethiopia na Tanzania ni vitu viwili tofauti mkuu. Jenga fikra chanya epuka mawazo ya kimaskini, mawazo ya mkosaji.
 
Hii ni self centred,eti naenda kagera kwa siku moja so what?Aftalaw huo mradi kufika kwenu ni ndoto,haya ni matumaini ya watu wajinga ambao ndio mtaji mkubwa wa jiwe.Eti ethiopia na tz tofauti, hivi hii ndo jibu la hoja yangu?....We kweli kiazi cha bukoba!!!
 
Viazi ni watu wa aina yako, ambao wanaumba kushindwa badala ya kushinda kwenye kila jambo maishani mwao.

Tulia watu waendelee kupiga kazi, nyinyi endelezeni upuuzi wa kupinga kila jambo.
 
Jiwe ataondoka madarakani akimaliza muda wake na hilo laweza kuja kuwa white elephant.
 
mitigator, typical mindset ya mbongo. Hakuna jema linalofanyika. Treni ya umeme ikikamilika, mimi nitakwenda kwetu Kagera ndani ya siku moja na inayofuata nageuza kurudi Dar.

Ethiopia na Tanzania ni vitu viwili tofauti mkuu. Jenga fikra chanya epuka mawazo ya kimaskini, mawazo ya mkosaji.
Nilitegemea ungefanya critical comparative analysis based on economic perspectives badala yake unapiga vigeregere kwenye ndoto za jiwe......Foolish fool!!
 
comparati ve analysis wanaifanya wale wanaopewa kazi ya kujenga miradi hii mikubwa. Foolish fool ni nyinyi mnaongojea muone matokeo mabaya, upuuzi ulio ndani ya vichwa vyenu unawanyima hata ule uwezo wa kufikiri kwamba mradi utakapokamilika hata biashara zenu zitafaidika na ule uwepo wa umeme wa bei rahisi.
 
Viazi ni watu wa aina yako, ambao wanaumba kushindwa badala ya kushinda kwenye kila jambo maishani mwao.

Tulia watu waendelee kupiga kazi, nyinyi endelezeni upuuzi wa kupinga kila jambo.
Nimekupata kiazi kumbe kumpigia jiwe vigeregere na nyimbo za kinafik huku mkitoa ushuz wa shibe yake nayo ni kazi itakayotuletea maendeleo!!!!!Hakuna taifa lililoendelea kwakua na watu wajinga kama wewe!!
Jaribia kupitia the history of four Asian tigers,utaona kama serikali ilifanya maendeleo kwakua na vijana wajinga wapiga vigeregere kama wew, Dvt is not overnight dream,its technical process lead by visionary leader!!!
 
comparati ve analysis wanaifanya wale wanaopewa kazi ya kujenga miradi hii mikubwa. Foolish fool ni nyinyi mnaongojea muone matokeo mabaya, upuuzi ulio ndani ya vichwa vyenu unawanyima hata ule uwezo wa kufikiri kwamba mradi utakapokamilika hata biashara zenu zitafaidika na ule uwepo wa umeme wa bei rahisi.
Kijana huna aibu unaona fahari we kuswagwa kama ng'ombe wa usukumani? kwa hyo comparative analysis walitakiwa kufanya waarabu waliipewa tenda, kazi yako wew ni kutoa ushuzi tu?Sibishani ni vichwa viaz kama wew ambaye huoni aibu kulingia ujinga!!!
 
Nimekupata kiazi kumbe kumpigia jiwe vigeregere na nyimbo za kinafik huku mkitoa ushuz wa shibe yake nayo ni kazi itakayotuletea maendeleo!!!!!Hakuna taifa lililoendelea kwakua na watu wajinga kama wewe!!
Jaribia kupitia the history of four Asian tigers,utaona kama serikali ilifanya maendeleo kwakua na vijana wajinga wapiga vigeregere kama wew, Dvt is not overnight dream,its technical process lead by visionary leader!!!
Povu jingi point huna. Waache wenye ilani yao wafanye kazi. Shughuli ya kupinga kila kitu na kutukana inaweza kufanywa na punguani wa aina yoyote ile.
 
Kijana huna aibu unaona fahari we kuswagwa kama ng'ombe wa usukumani? kwa hyo comparative analysis walitakiwa kufanya waarabu waliipewa tenda, kazi yako wew ni kutoa ushuzi tu?Sibishani ni vichwa viaz kama wew ambaye huoni aibu kulingia ujinga!!!
Wewe ungekuwa na akili timamu usingeandika pumba unazoandika. Wenye elimu na maarifa wanapewa vyeo na wanavitendea haki, watu wa aina yako wanaishia kupunguzia hasira humu jukwaani.
 
You are right....watu wenye akili timamu hawana vyeo......The problem with africa is that we are being led by low minded people, voters are highly interested in dramatic leadership (Patrice Lumumba,2016)
 
Tatizo jingine la afrika ni kwamba wenye akili kama wewe siku ya uchaguzi huwa wanalala mpaka saa tisa mchana, kwa sababu jana yake walishinda wanakunywa bia bar.

Kinamama na wazee ndio wenye upendo wa nchi za kiafrika na ndio wapiga kura, wasomi wa mijini kama wewe wanaishia kujaza seva za jamii forum, facebook na twitter.
 
Haiwezekani kujengwa kwa sababu wazungu hawapo tayari maana tumevunja sheria za kimataifa za uhifadhi kwa kuzuia makampuni kujenga na sio kukosa fedha samahani kama mtaudhika lakini mnisameha bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali imekabidhi rasmi mkandarasi eneo kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa bwawa la kuzalisha umeme ‘’Stiegler’s Gorge’’. Hii inatoa njia kwa mkandarasi kuanza kazi rasmi ambayo itaongeza zaidi ya Megawatts za 2,100 za umeme kwenye gridi ya kitaifa.

Serikali imetenga Shilingi bilioni 700 kutoka vyanzo vya mapato ya ndani katika mwaka wa fedha 2018/2019 kwa ajili ya kutekeleza mradi huo.

Eneo la ujenzi wa maradi huo lilikabidhiwa rasmi kwa mkandarasi, Arab Contractors Company ambayo itafanya kazi kwa kushirikiana na kampuni ya EI Swedy na kukamilisha mradi huo mwaka 2022. Bwawa hilo litakuwa kubwa zaidi Afrika, na la kwanza katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, ambalo litakuwa na uwezo wa kutunza maji yenye ujazo wa lita bilioni 3.3, pia litasaidia katika kukuza kilimo cha umwagiliaji.

Mradi huo utakapokamilika utaondoa tatizo la uhaba wa nishati ya umeme nchini
Sirikali imeleta Mgao Hewa ili kuupa Chapu0 UFISADI wa STEGOLAZ GOJI....Wananchi wakilalamika hapo ndio Wanasiasa hewa wanajitokeza na kuanza longolongo kwamba tatizo litamalizwa na stegolaz goji.
 
Back
Top Bottom