Steven Wassira yuko wapi?

fredymkanza

JF-Expert Member
Jun 19, 2016
284
152
Samahani naomba kuuliza yule Mbunge aliyepigwa chini na Esther Bulaya
Amepotelea wapi?
 
Bunda hayupo ndio maana nauliza jamani
Au kaenda Israel kama kitwanga?
 
Atakuwa kajificha sijui wapi. Si unajua alitabiri cdm kufa sasa kafa yeye kisiasa kabisa sijui kama atarudi tena ulingoni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom