Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,551
- 1,159
katika uchaguzi unaoendelea huko igunga leo kuna mwananchi mmoja ameuliza kwanini wachague ccm wakati mbunge wao rostam alijiuzulu kwa kile alichosema ni siasa uchwara ndani ya ccm.Steven wassira instead ya kujibu swali kama lilivyouliza anaanza kusema kuwa yeye kaja kujibia chama na sio rostam.Ameonekana kituko mbele ya jamii ya pale,alitegemewa kuja na majibu sahihi yanayoridhisha kuwa ni kwanini RA alijiuzulu na kujibu hoja kama ni kweli zipo siasa uchwara ndani ya chama?
Nawasilisha
Nawasilisha