Steven Masele ashinda kesi ya uchaguzi (Jimbo la Shinyanga mjini)

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,303
Mahakama kuu kanda ya tabora imetupilia
mbali kesi ya ubunge wajimbo la
shinyanga mjini iliyokuwa
imefunguliwa na wapiga kura
dhidi ya mh. Steven masele
 
hongera zake

sheria imefanya kazi yake,tuache upambe na kutaka majaji wahukumu kwa maneno yetu ama jinsi sisi tutakavyo
 
Hii kesi hata sikuisikia kabisa
Hongera maselle.
OTIS
 
ninachojua ni kuwa wanananchi walipeleka vielelezo mahakamani ili mahakama ivisome na itangaze nani alishinda uchaguzi
 
Unapotoa taarifa ni bora kutoa taarifa zinazojitosheleza! kusiwe na maswali kwa unaowapa taarifa. Sasa mtoa mada anaulizwa hao wananchi wanapinga matokeo ya mbuge kupitia chama gani? Hujib!
 
Si ndo huyu alikofiaga yule mgombea wa cdm ili kupoteza ushahd?Eti kura 1 na wakachoma masanduku.
 
Back
Top Bottom