Steven Masele ashinda kesi ya uchaguzi (Jimbo la Shinyanga mjini)

.
Preta


MEMBER OF PARLIAMENT CV

GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1660.jpg
First Name:Stephen
Middle Name:Julius
Last Name:Masele
Member Type:Constituency Member
Constituent:Shinyanga Mjini
Political Party:CCM
Office Location:Box 127, Shinyanga
Office Phone:+255 658 286000/+255 767 286000
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:smasele@parliament.go.tz
Member Status:Current Member
Date of Birth1 October 1979
EDUCATIONS
School Name/LocationCourse/Degree/AwardStart DateEnd DateLevel
Kilakala Primary School, MorogoroPrimary Education19871991PRIMARY
Kanawa Primary School, ShinyangaPrimary Education19921993PRIMARY
Mwenge Secondary School, SingidaO-Level Education19941997SECONDARY
Morogoro Teachers' CollegeCertificate19982000CERTIFICATE
University of Dar Es SalaamBA20012004GRADUATE
EMPLOYMENT HISTORY
Company NamePositionFrom DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Shinyanga Town Constituency20102015
MIC (T) LTD (TIGO)Distribution Coordinator Zonal20072010
Stanbic BankCustomer Relation Officer20052007
Standard Chartered BankLoan Officer20042005

POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMChairperson - Regional UVCCM2008Todate
Chama Cha Mapinduzi, CCM2008Todate
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - University Youth Team2003


Kweli Mbunge kilaza, hujui hata UDSM ulisoma BA ya kitu gani!

To date sio 2015 huoni aibu kuweka ka-CV kako ambako kapo shallow hivyo!
 
Nina mashaka na elimu ya huyu mbunge jamani, unatoka Certificate kwenda kuchukua BA. UDSM??????? tena hata BA yake hajasema ni ya kitu gani! duh hii kali.
 
Ni kuiongezea mzigo to serikali, yenyewe imezidiwa na gharama za uendeshaji for the expense of democracy. Hope wataliona hili na next time sheria itabadilishwa ili m1 akivuliwa ubunge na mahakama yule first run up achukue kiti. Angalau those Bs could be served.
 
Huyu ni kijana pamoja na mengine anafaa kuwa mbunge tatizo ni chama anachotoka.
Pili hii kesi ilikuwa haisikiki kwani aliyeifungua alishakufa!!!! RIP.
 
Unapotoa taarifa ni bora kutoa taarifa zinazojitosheleza! kusiwe na maswali kwa unaowapa taarifa. Sasa mtoa mada anaulizwa hao wananchi wanapinga matokeo ya mbuge kupitia chama gani? Hujib!

Kweli mkuu habari nyingine humu zinabaki zinahang' huku msomaji akibakiwa na maswali kibao
 
SHINYANGA
MANISPAA YA SHINYANGA
SHINYANGA MJINI
Candidate
Political Party
Number of Votes
Percentage Votes
MASELE STEPHEN JULIUS
CCM
18,90348.76
SHELEMBI MAGADULA PHILLIP
CHADEMA
18,77248.43
MWALIMU MOHAMED MBUKUZI
CUF
1930.5
SPOILT VOTES 8972.31
TOTALS 38,765100


Help | Disclaimer | Privacy | Site Feedback
Copyrights ©2008, The United Republic of Tanzania, National electoral Commission All Rights Reserved
Designed and published by DataVision International (T) Ltd

 
Kesi za CDM hizi walizofungua karibia zote zilikuwa hazina mashiko, sasa yanawapata waliyo yataka. Leo peke yake 2 - 0000000000000000000000000

Watakuwa hawakujipanga.. Mfano Segerea.. Mhmm..?! Anyway.. Siasa ni mchezo mchafu sana..

Bila kuwa na uwezo wa kuiga vizuri na kwa ufasaha maisha ya Nguruwe na,au Bata... Huwezi ukaucheza!
 
Dah siamini kama Magwanda wamelia tena hata huko, ama kweli Chadema chaliiiiiii.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Nadhani kuanzia sasa atatoka uhamishoni na kurudi nyumbani shinyanga. Ingawa pia ataendelea kuwa na wakati mgumu kwa wananchi wa shinyanga ambao hawakumchagua, na yeye hilo analitambua.

Atakuwa kama wa Tandahimba..
Inasemekana hakushinda,na kimsingi,alibwagwa kwa kura nyingi.. Akatangazwa kashinda..

Kwenda kijijini kwake kwenyewe ilikuwa ishu! hata leo hawezi akaitisha mkutano wakapatikana wa kumsikiliza.. Huyu hakupendwa hadi na wanachama wenzake! Sasa shangaa alishinda vipi!
 
Nina mashaka na elimu ya huyu mbunge jamani, unatoka Certificate kwenda kuchukua BA. UDSM??????? tena hata BA yake hajasema ni ya kitu gani! duh hii kali.

Hako ka BA kamechomekwa tu kutuzuga kwamba angalau ana degree kumbe uwongo tu. Jamaa ana kacertificate tu tena kaualimu.
 
Nasikia ni swahiba wa "Udday" wa Tanzania. Anyway anaweza kuwa alikuwa merits za kisheria akashinda.

Pamoja na hayo uteuzi wake kwenye Baraza la Mawaziri utatiliwa shaka kiasi.
 
Back
Top Bottom