Steven Masele ashinda kesi ya uchaguzi (Jimbo la Shinyanga mjini)

Mtoa mada tujuze vigezo gani vilivyotumika kutupilia mbali kesi hii ili nasi tujue,ikiwa ni pamoja sababu gani zilizopelekea wapiga kura wakafungua kesi.
 
hongera zake.....chama gani...?
.
Preta


MEMBER OF PARLIAMENT CV

GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1660.jpg
First Name:Stephen
Middle Name:Julius
Last Name:Masele
Member Type:Constituency Member
Constituent:Shinyanga Mjini
Political Party:CCM
Office Location:Box 127, Shinyanga
Office Phone:+255 658 286000/+255 767 286000
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:smasele@parliament.go.tz
Member Status:Current Member
Date of Birth1 October 1979
EDUCATIONS
School Name/LocationCourse/Degree/AwardStart DateEnd DateLevel
Kilakala Primary School, MorogoroPrimary Education19871991PRIMARY
Kanawa Primary School, ShinyangaPrimary Education19921993PRIMARY
Mwenge Secondary School, SingidaO-Level Education19941997SECONDARY
Morogoro Teachers' CollegeCertificate19982000CERTIFICATE
University of Dar Es SalaamBA20012004GRADUATE
EMPLOYMENT HISTORY
Company NamePositionFrom DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Shinyanga Town Constituency20102015
MIC (T) LTD (TIGO)Distribution Coordinator Zonal20072010
Stanbic BankCustomer Relation Officer20052007
Standard Chartered BankLoan Officer20042005

POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMChairperson - Regional UVCCM2008Todate
Chama Cha Mapinduzi, CCM2008Todate
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - University Youth Team2003
 
Last edited by a moderator:
Mpuuzi.....
Unapotoa taarifa ni bora kutoa taarifa zinazojitosheleza! kusiwe na maswali kwa unaowapa taarifa. Sasa mtoa mada anaulizwa hao wananchi wanapinga matokeo ya mbuge kupitia chama gani? Hujib!
 
yani hadi wananchi anaolazmisha kuwaongoza wamempinga mahakamani lakini bado anang'ang'ana tu!
 
Mahakama kuu kanda ya tabora imetupilia
mbali kesi ya ubunge wajimbo la
shinyanga mjini iliyokuwa
imefunguliwa na wapiga kura
dhidi ya mh. Steven masele[/QUOTE]

Ok nimekumbuka Msele alishinda kwa kura 1 na yule jamaa ambaye walimchakachua alifariki na alikuwa ni muuza kuku na mtu maarufu sana,japokuwa sina uhakika kama Msele ni Mchawi ila nimeshasikia watu wakisema hili jambo, na pia wana wasiwasi pia hata Kanumba naye alihusishwa sababu alikuwa agombee shinyanga mjini 2015 kupitia CHADEMA.

Mungu ndio anajua yote ila is too pain. RIP
 
babu MAKAMBA aliamuru ccm wote walioshindwa wafungue kesi ccm itafanya mambo

by the way, talking of MAKAMBA, hivi yupo hai??? mnamuongelea makamba baba, au watoto?? mtoto yupi sasa?? waziri ajaye?? au MD ajaye?? MAGAMBA BANA?!! Wanarithishana tu udictator! hata mie kwa babu yangu nimerithishwa eka ya bangi!
 
The BLOOD MP in action. Ubunge wa Damu ni laana tupu kwani ndoto mbaya na kuweweseka hazitakuacha ufurahie ubunge ni bora tu angebaki uraiani arudi customer care bank.
 
Hii kesi hata sikuisikia kabisa
Hongera maselle.
OTIS

Nadhani kuanzia sasa atatoka uhamishoni na kurudi nyumbani shinyanga. Ingawa pia ataendelea kuwa na wakati mgumu kwa wananchi wa shinyanga ambao hawakumchagua, na yeye hilo analitambua.
 
Unasema kana kwamba kila mtu anajua unachoandika.

Kesi hii,mwanzo ilifunguliwa na mgombea wa CHADEMA(Philipo Sherembi),dhidi ya wa CCM,(Stephan Masele)ambao walitofautiana kwa kura moja!
Kesi ilipoanza kunoga, mshtaki,alifariki ghafla!
Baada ya hapo,kesi nayo ikafa! Ikabidi ifunguliwe upya,na wanachama!
Matokeo,ndiyo hayo!
 
Back
Top Bottom