Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 7,663
- 12,286
Kata ni kubwa sana kwake ateuliwe awe mtendaji wa Kijiji.Steve Nyerere apewe utendaji Kata atulie kinacho mtatiza ni UTEUZI na kwa level yake ya uelewa Kata ndio size yake.
Akiteuliwa kuwa mtendaji kata atafanya vitendovya ajabu na ukatili zaidi ya Saabayaa