Steve Nyerere amtolea povu Humphrey Polepole. Je, jeuri anaipata wapi?

Haya ni mapicha tu wanajamba wenyewe alafu wanajifanya kuzipa pua!
 
Huo Mfano wako Kwanini hautumiki kwa wengi waliorudi CCM kasoro Wema?
Angalau Wema alishiriki kumpigia Debe Magufuli akaondoka kwa frustrations za Makonda, vipi kuhusu Masha alieshiriki kweny jitihada za kuingusha CCM 2015 lakin kapokelewa bila ya Masimango?
Inategemea unatoka namna gani na unarudi vipi. Kutoka kwa nyodo halafu ukiondoa sura hakuna uzito mwingine matokeo yake ndiyo hayo. 'MDOMO HUPONYA NA MDOMO HUPONZA PIA'
 
Huo Mfano wako Kwanini hautumiki kwa wengi waliorudi CCM kasoro Wema?
Angalau Wema alishiriki kumpigia Debe Magufuli akaondoka kwa frustrations za Makonda, vipi kuhusu Masha alieshiriki kweny jitihada za kuingusha CCM 2015 lakin kapokelewa bila ya Masimango?
hao wakina masha ni watu waliopo ktk mission maalum... wakina sumaye, mrema, EL... mimi nakumbuka my bro aliniingizaga mkenge wakat tupo chuo tukawa tuna imarisha chama... ana wasiliana na wakina TL, Heche, Mbowe tuna tumiwa Kadi za chama bendera mihuri nk... kuimarisha chama kipindi kile cha mambo ya katiba pendekezwa...

nakumbuka mama alilia akaniambia usimfate kaka yako... sikujua nini ana maanisha, kumbe kaka alikuwa ktk mission maalum... alivyo maliza mission zake akapelekwa mafunzo ktk nchi moja mashariki ya mbali... akarudi akaenda mission kadhaa hapa africa now yupo mjengoni anaendeleza anayo agizwa na mamlaka...

tangu hapo mimi na yeye simu zimepungua na anafahamu, nadhani pia hata kama yupo humu atakuwa amenitambua pia...! huu upuuzi wa kutumiwa na watu kwa manufaa yao sidhani kama utaisha... watu wengi wanao hama sio wakweli kabisa ndio maana ktk mijadala kama hii huwa nawekaga wazi kuwa CDM au chama chochote chenye ushawishi kwa wakati fulani kisikubari kupokea mamluki... ndio wanao haribu chama na kupunguza viongozi makini ktk chama...

Bora wale walio kuwa wanataka kuama na kwenda kuanzisha CCJ kuliko kwenda CDM, au NCCR nk... bora yule aliye ama na kwenda kuanzisha ACT... kuliko kwenda kuaribu vyama vya watu ambao wameangaika kuvijenga kwa miaka nenda rudi wewe kwa usiku mmoja tu eti naenda au narudi sehem fulani...
 
Steve Nyerere ana nguvu kuliko Polepole, Steve Nyerere ndio Mwenyekiti wa kundi la wapiga pesa la wazalendo kwanza, na hawa ndio wanategemewa na chama 2020 kuiombea ccm kura kwenye tabaka la watu wajinga hasa wa Instagram, Bongo movie na tasnia nzima ya wasanii.

Steve Nyerere anaingia kwa Mama Samia Suluhu kama kwa mama yake.

Steve na Polepole wanachofanana tu ni kwamba ni ngumu kuwakadilia umri wao, huwezi kujuwa wapo kundi ka vijana au ni wazee, pili wanafanana katika unafki, hapo hakuna anayemzidi mwenzake, tatu Steve ni mtoto wa Kinondoni, wakati Polepole ni mashamba tu kama yule mshamba mwenzake.
Umetumia lugha fasaha na sahihi kwa hayo makundi,natamani wawe wamesoma hapa.
 
hao wakina masha ni watu waliopo ktk mission maalum... wakina sumaye, mrema, EL... mimi nakumbuka my bro aliniingizaga mkenge wakat tupo chuo tukawa tuna imarisha chama... ana wasiliana na wakina TL, Heche, Mbowe tuna tumiwa Kadi za chama bendera mihuri nk... kuimarisha chama kipindi kile cha mambo ya katiba pendekezwa...

nakumbuka mama alilia akaniambia usimfate kaka yako... sikujua nini ana maanisha, kumbe kaka alikuwa ktk mission maalum... alivyo maliza mission zake akapelekwa mafunzo ktk nchi moja mashariki ya mbali... akarudi akaenda mission kadhaa hapa africa now yupo mjengoni anaendeleza anayo agizwa na mamlaka...

tangu hapo mimi na yeye simu zimepungua na anafahamu, nadhani pia hata kama yupo humu atakuwa amenitambua pia...! huu upuuzi wa kutumiwa na watu kwa manufaa yao sidhani kama utaisha... watu wengi wanao hama sio wakweli kabisa ndio maana ktk mijadala kama hii huwa nawekaga wazi kuwa CDM au chama chochote chenye ushawishi kwa wakati fulani kisikubari kupokea mamluki... ndio wanao haribu chama na kupunguza viongozi makini ktk chama...

Bora wale walio kuwa wanataka kuama na kwenda kuanzisha CCJ kuliko kwenda CDM, au NCCR nk... bora yule aliye ama na kwenda kuanzisha ACT... kuliko kwenda kuaribu vyama vya watu ambao wameangaika kuvijenga kwa miaka nenda rudi wewe kwa usiku mmoja tu eti naenda au narudi sehem fulani...

Mkubwa nimekuelewa japo Wenye Chama hawaja na hawatakuelewa
 
Mambo yanabadilika sana ndugu zangu na hakuna kitu cha permanent , jamaa alijitamba sana enzi za mwendazake sassa anakula spana mbaya kabisa, walishaaambiwa wakibakia wenyewe wataanza kuraruana tu mara misimamo mara ukand amara udini , unabii wa Lema unaingia duniani mdogomdogooooo na bado yajayo yanafurahisha
 
Tuendako CCM inaelekea kitaiga na kuchukua tabia zote za Chadema. Na sasa wameanza na tabia ya kila mtu kuwa msemaji wa Chama. Wameacha kabisa utaratibu wao wa mwanachama mwenye lake jambo kuwasilisha katika vikao vya chama kwa kufuata ngazi. Yawezekana ni sababu ya ule utaratibu wa vikao vya chama kuanzia ngazi ya shina umekufa na ndio chanzo cha wanachama kukosa mwahali pa kutolea madukuduku yao. Kama ni hivyo urudishwe haraka.
 
Back
Top Bottom