Steve Nyerere amtolea povu Humphrey Polepole. Je, jeuri anaipata wapi?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,555
8,552
Katika hali isiyo ya kawaida jana Katibu uenezi alitoa ujumbe instagram akibeza Wema Sepetu kurudi CCM Kwakuandika haya!!
d26dc106f1f13b2267bb6dda893c4138.jpg

ce8d7384ea2dcd4bb2101f386e94d519.jpg

Baada ya kubeza nakuona urudiji wa Wema hauna tija katika chama na kuwahasa kwa kusema meanachama ni yule mvumiivu na siyo yule malaya wa siasa!!

Baada ya hayo
Aliyepambana kumrudisha wema Steve Nyerere povu likamtoka!

a99c8375ea8bfba5a71989d22fab2d3c.jpg

1fdd3960d4168c6bf99b1bc3b7705503.jpg

Swali Steve Nyerere ana nguvu gani au ninani yupo nyuma yake hadi anathubutu kumsema Katibu Mwenezi au ni.......
 
Steve Nyerere ana nguvu kuliko Polepole, Steve Nyerere ndio Mwenyekiti wa kundi la wapiga pesa la wazalendo kwanza, na hawa ndio wanategemewa na chama 2020 kuiombea ccm kura kwenye tabaka la watu wajinga hasa wa Instagram, Bongo movie na tasnia nzima ya wasanii.

Steve Nyerere anaingia kwa Mama Samia Suluhu kama kwa mama yake.

Steve na Polepole wanachofanana tu ni kwamba ni ngumu kuwakadilia umri wao, huwezi kujuwa wapo kundi ka vijana au ni wazee, pili wanafanana katika unafki, hapo hakuna anayemzidi mwenzake, tatu Steve ni mtoto wa Kinondoni, wakati Polepole ni mashamba tu kama yule mshamba mwenzake.
 
hahahaha tumbaaafuu
 
viongozi wa chama walitakiwa wawe hivi sio mtu ana hama na kurudi ana hama na kurudi ina kuwa kama vimichezo michezo, walitakiwa CDM nao kufanya hivi kuwa pima kama kweli ni wafia chama wamekuja au mashushushu wa mjini... lakini tuna beba na koroma mwisho tuna shindwa hata kuzitupa mpaka pale zinapo amua kujitenga zenyewe...

NB:
Mbona hawaendi ACT? NCCR? TLP? CHAUMA kuna uwezekano Mh Sipunda akampa ata tawi kuliongoza... ata kugombea udiwani, ubunge... na kama ana kubarika kama wengine ana weza kushinda pia... ACT-Ztto alishinda uchaguzi, NCCR na TLP washindani wakubwa pale vunjo (Mrema na mwenzie)... hivyo sio ccm na cdm pekee... na ukiona watu wa namna hii ni kuwa ana kiitaji chama kuliko chama kinavyo muitaji yeye... tena chama chenye ushawishi...

Pigo alilo lipata ni siku anaondoka alafu wakina kidoti wanakula mashavu ktk chama... wasanii wenzie nao wana mpinga... na kwa kuwa hana moyo wa kikamanda (CDM) mambo yakamfika shingoni ana taka kurudi anapo paita nyumbani...

Hawa wakina nyarandu, EL na wengine wanao toka upande ule walitakiwa waachwe wakaunde chama chao na sio kuja kuaribu hiki cha upande huu ili kupunguza mamruki wa mihemko na kuisi wanakomoa au wengine wanafanya kwa kuagizwa ktk mission za chama husika
 
Steve Nyerere ana nguvu kuliko Polepole, Steve Nyerere ndio Mwenyekiti wa kundi la wapiga pesa la wazalendo kwanza, na hawa ndio wanategemewa na chama 2020 kuiombea ccm kura kwenye tabaka la watu wajinga hasa wa Instagram, Bongo movie na tasnia nzima ya wasanii.

Steve Nyerere anaingia kwa Mama Samia Suluhu kama kwa mama yake.

Steve na Polepole wanachofanana tu ni kwamba ni ngumu kuwakadilia umri wao, huwezi kujuwa wapo kundi ka vijana au ni wazee, pili wanafanana katika unafki, hapo hakuna anayemzidi mwenzake, tatu Steve ni mtoto wa Kinondoni, wakati Polepole ni mashamba tu kama yule mshamba mwenzake.
"Ni mshamba kama yule mshamba" mwingine nimekusoma mkuu
 
Hawa wasanii wenye uwezo mdogo wa kufikiri ambao hata huko kwnye sanaa zao hawafiti zaidi ya unafiki, umbea na umalaya, wangejikita na mambo yao, huku kwnye siasa wanatafuta kiki ambazo zitawavurugia kazi zao mbovu
 
Katika hali isiyo ya kawaida jana Katibu uenezi alitoa ujumbe instagram akibeza Wema Sepetu kurudi CCM Kwakuandika haya!!
d26dc106f1f13b2267bb6dda893c4138.jpg

ce8d7384ea2dcd4bb2101f386e94d519.jpg

Baada ya kubeza nakuona urudiji wa Wema hauna tija katika chama na kuwahasa kwa kusema meanachama ni yule mvumiivu na siyo yule malaya wa siasa!!

Baada ya hayo
Aliyepambana kumrudisha wema Steve Nyerere povu likamtoka!

a99c8375ea8bfba5a71989d22fab2d3c.jpg

1fdd3960d4168c6bf99b1bc3b7705503.jpg

Swali Steve Nyerere ana nguvu gani au ninani yupo nyuma yake hadi anathubutu kumsema Katibu Mwenezi au ni.......
Huyu jamaa naye anasema au anatania???? Muulizeni iwapo mkewe angeacha ndoa yake kutokana na kutofautiana mitazamo naye akaenda kuishi kwa mwanamume mwingine na huko akatoa nydodo nyingi dhidi yake Halafu baada ya muda kupita akataka kurudi, Jee angempokea kama kawaida????? SIASA SIYO BONGO MUVI??????
 
Humphrey is the spokesman for the Party
Unfortunately Steve Nyerere on this matter your an intruder
Judging by your age i think it's high time you grow up
 
Usim judge Steve, jadili hoja yake!

Najua Steve ni Msanii lakin hoja yake Ina mashiko!, Hilo analosema Humprey Kama ingekuwa ndio Kanuni hata Yeye Leo Hii asungekuwa Pale alipokuwa, Yeye Mara zote alikuwa kwny Genge la Kigoda cha Mwl Nyerere na kina Warioba akiisanifu na kuitukana CCM wakati wote wa Utawala wa Jakaya mpaka kufikia kusema CCM itaanguka kama kuna Free and fair Election!

Kwanini Leo Hii amsakame Wema kwa kurudi CCM wakati wamerudi wengi tu kuanzia Yeye Mwenyewe, kina Masha, Mgana Msindai na wengine wengi tu!

Pinga hoja ya Steve Kama una hoja
 
Huyu jamaa naye anasema au anatania???? Muulizeni iwapo mkewe angeacha ndoa yake kutokana na kutofautiana mitazamo naye akaenda kuishi kwa mwanamume mwingine na huko akatoa nydodo nyingi dhidi yake Halafu baada ya muda kupita akataka kurudi, Jee angempokea kama kawaida????? SIASA SIYO BONGO MUVI??????

Huo Mfano wako Kwanini hautumiki kwa wengi waliorudi CCM kasoro Wema?
Angalau Wema alishiriki kumpigia Debe Magufuli akaondoka kwa frustrations za Makonda, vipi kuhusu Masha alieshiriki kweny jitihada za kuingusha CCM 2015 lakin kapokelewa bila ya Masimango?
 
Steve Nyerere ana nguvu kuliko Polepole, Steve Nyerere ndio Mwenyekiti wa kundi la wapiga pesa la wazalendo kwanza, na hawa ndio wanategemewa na chama 2020 kuiombea ccm kura kwenye tabaka la watu wajinga hasa wa Instagram, Bongo movie na tasnia nzima ya wasanii.

Steve Nyerere anaingia kwa Mama Samia Suluhu kama kwa mama yake.

Steve na Polepole wanachofanana tu ni kwamba ni ngumu kuwakadilia umri wao, huwezi kujuwa wapo kundi ka vijana au ni wazee, pili wanafanana katika unafki, hapo hakuna anayemzidi mwenzake, tatu Steve ni mtoto wa Kinondoni, wakati Polepole ni mashamba tu kama yule mshamba mwenzake.
Nimecheka sanaaaa
 
Duuuuuh hadi stefano nyerere nae leo ni "Think tank"

Aiseeeeee naiona manifesto ya uchumi wa viwanda ikiwa implemented effectively n efficiently hivi punde.

Anyway,,,,,,,,,,,,, waitin za evaluation stage ndo ntajua namie.
 
Wema tumbo joto akikataliwa Ccm ....atakufa kwa mawazo ...Steve ndio master Mind wa michezo michafu yote inayowahusu wasanii na siasa anajaribu kukinga kifua shoga ake asijetemwa...
 
Katika hali isiyo ya kawaida jana Katibu uenezi alitoa ujumbe instagram akibeza Wema Sepetu kurudi CCM Kwakuandika haya!!
d26dc106f1f13b2267bb6dda893c4138.jpg

ce8d7384ea2dcd4bb2101f386e94d519.jpg

Baada ya kubeza nakuona urudiji wa Wema hauna tija katika chama na kuwahasa kwa kusema meanachama ni yule mvumiivu na siyo yule malaya wa siasa!!

Baada ya hayo
Aliyepambana kumrudisha wema Steve Nyerere povu likamtoka!

a99c8375ea8bfba5a71989d22fab2d3c.jpg

1fdd3960d4168c6bf99b1bc3b7705503.jpg

Swali Steve Nyerere ana nguvu gani au ninani yupo nyuma yake hadi anathubutu kumsema Katibu Mwenezi au ni.......

Prince Bashite
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom