Steve Nyerere amtolea Povu Humphry polepole je Jeuri anaipata wapi?? | Page 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Steve Nyerere amtolea Povu Humphry polepole je Jeuri anaipata wapi??

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by KakaKiiza, Dec 2, 2017.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2017
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,490
  Likes Received: 2,181
  Trophy Points: 280
  Katika hali isiyo ya kawaida jana Katibu uenezi alitoa ujumbe instagram akibeza Wema Sepetu kurudi CCM Kwakuandika haya!!
  [​IMG]
  [​IMG]
  Baada ya kubeza nakuona urudiji wa Wema hauna tija katika chama na kuwahasa kwa kusema meanachama ni yule mvumiivu na siyo yule malaya wa siasa!!

  Baada ya hayo
  Aliyepambana kumrudisha wema Steve Nyerere povu likamtoka!

  [​IMG]
  [​IMG]
  Swali Steve Nyerere ana nguvu gani au ninani yupo nyuma yake hadi anathubutu kumsema Katibu Mwenezi au ni.......
   
 2. The Bourne

  The Bourne JF-Expert Member

  #21
  Dec 2, 2017
  Joined: Aug 24, 2017
  Messages: 782
  Likes Received: 942
  Trophy Points: 180
  Ni plan tu hiyo baada ya kukurupishwa na Mange,
   
 3. kayaman

  kayaman JF-Expert Member

  #22
  Dec 2, 2017
  Joined: Aug 3, 2013
  Messages: 2,215
  Likes Received: 3,167
  Trophy Points: 280
  Haya ni mapicha tu wanajamba wenyewe alafu wanajifanya kuzipa pua!
   
 4. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #23
  Dec 2, 2017
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,090
  Likes Received: 994
  Trophy Points: 280
  Inategemea unatoka namna gani na unarudi vipi. Kutoka kwa nyodo halafu ukiondoa sura hakuna uzito mwingine matokeo yake ndiyo hayo. 'MDOMO HUPONYA NA MDOMO HUPONZA PIA'
   
 5. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #24
  Dec 2, 2017
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,490
  Likes Received: 2,181
  Trophy Points: 280
  Leo ccm eti hawana taarifa kuwa Wema karudi CCM
   
 6. Prince Kunta

  Prince Kunta JF-Expert Member

  #25
  Dec 2, 2017
  Joined: Mar 27, 2014
  Messages: 7,431
  Likes Received: 5,689
  Trophy Points: 280
  Uyo Steve na Polepołe wòte ni wasaka tonge/ wachumia tumbo
   
 7. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #26
  Dec 2, 2017
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 10,978
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Huyo steve nyerere mpuuzi tu
   
 8. Chillah

  Chillah JF-Expert Member

  #27
  Dec 3, 2017
  Joined: Oct 12, 2016
  Messages: 1,050
  Likes Received: 594
  Trophy Points: 280
  hao wakina masha ni watu waliopo ktk mission maalum... wakina sumaye, mrema, EL... mimi nakumbuka my bro aliniingizaga mkenge wakat tupo chuo tukawa tuna imarisha chama... ana wasiliana na wakina TL, Heche, Mbowe tuna tumiwa Kadi za chama bendera mihuri nk... kuimarisha chama kipindi kile cha mambo ya katiba pendekezwa...

  nakumbuka mama alilia akaniambia usimfate kaka yako... sikujua nini ana maanisha, kumbe kaka alikuwa ktk mission maalum... alivyo maliza mission zake akapelekwa mafunzo ktk nchi moja mashariki ya mbali... akarudi akaenda mission kadhaa hapa africa now yupo mjengoni anaendeleza anayo agizwa na mamlaka...

  tangu hapo mimi na yeye simu zimepungua na anafahamu, nadhani pia hata kama yupo humu atakuwa amenitambua pia...! huu upuuzi wa kutumiwa na watu kwa manufaa yao sidhani kama utaisha... watu wengi wanao hama sio wakweli kabisa ndio maana ktk mijadala kama hii huwa nawekaga wazi kuwa CDM au chama chochote chenye ushawishi kwa wakati fulani kisikubari kupokea mamluki... ndio wanao haribu chama na kupunguza viongozi makini ktk chama...

  Bora wale walio kuwa wanataka kuama na kwenda kuanzisha CCJ kuliko kwenda CDM, au NCCR nk... bora yule aliye ama na kwenda kuanzisha ACT... kuliko kwenda kuaribu vyama vya watu ambao wameangaika kuvijenga kwa miaka nenda rudi wewe kwa usiku mmoja tu eti naenda au narudi sehem fulani...
   
 9. Mnondwe

  Mnondwe JF-Expert Member

  #28
  Dec 3, 2017
  Joined: Apr 10, 2015
  Messages: 2,781
  Likes Received: 1,715
  Trophy Points: 280
  Umetumia lugha fasaha na sahihi kwa hayo makundi,natamani wawe wamesoma hapa.
   
 10. utukufu mwanjisi

  utukufu mwanjisi JF-Expert Member

  #29
  Dec 3, 2017
  Joined: Aug 19, 2017
  Messages: 264
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 60
  Hili picha tu huwez kumjibu hivo msemaji mkuu wa chama tena chama kikubwa kama CCM
   
 11. barafuyamoto

  barafuyamoto JF-Expert Member

  #30
  Dec 3, 2017
  Joined: Jul 26, 2014
  Messages: 20,363
  Likes Received: 12,102
  Trophy Points: 280
  Hapa BAVICHA lazima wamfagilie Steve Nyerere kwa sababu hawajitambui.
   
 12. P

  Pohamba JF-Expert Member

  #31
  Dec 3, 2017
  Joined: Jun 2, 2015
  Messages: 13,756
  Likes Received: 19,658
  Trophy Points: 280
  Mkubwa nimekuelewa japo Wenye Chama hawaja na hawatakuelewa
   
 13. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #32
  Dec 3, 2017
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,320
  Likes Received: 35,645
  Trophy Points: 280
  Wacha fisi wauane
   
 14. mnadhimu mkuu wa jf

  mnadhimu mkuu wa jf JF-Expert Member

  #33
  Dec 3, 2017
  Joined: Mar 19, 2017
  Messages: 377
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 60
  Aiseee!!!!!
   
 15. Jambazi

  Jambazi JF-Expert Member

  #34
  Dec 3, 2017
  Joined: Jan 18, 2014
  Messages: 14,134
  Likes Received: 11,918
  Trophy Points: 280
  NGOJA WATOANE NGEU KWANZA
   
Loading...