Steve Nyerere amponda Erick Omondi, adai watanzania wanaomkubali ni wajinga

Hehe huyu jamaa hata nilikua simjui, anaongea nini.
Anasema mchekeshaji ni anayeongea, hajawahi ona stand up comedy za Omondi nini?
Yule jamaa ana ongea unaweza cheka saa nzima hadi tumbo likauma, huyu homo sapien anasikika labda shinyanga vijijini.
Kiukweli uyo Stiv Nyerere hata robo hamfikii Eric.. Stiv show nzima unaeza uscheke ata kidogo utaskia ooo makonda anakuja dar alshukia chalinze mavichekesho ya kizaman kabisa ayo na yamezoeleka maskion mara wema kafanyaje
 
Ana F ya stand up comedy, yaani hajui na hana anachokijua, siku moja kwa bahati mbaya niliona clouds wanampigia promo, yaani sikumwelewa hata kidogo anakazi ya kuwarusha waheshimiwa kama mkongo, mara ooh namuona mdogo wangu wakonda, kidogo wapi swahiba wangu Riz one mzee wa chalinze. Japokuwa mimi mwenyewe mtanzania lkn Eric Omond anajua, mimi Omond hata asipo ongea asimame tu lazima nitacheka. Muoneeni huruma hali sasa hivi ni mbaya mkuu wa kaya anatunyoosha, waheshimiwa wamebanwa manake ndio wateja wake wakubwa kwa kuwaunganusha na bongo movie , lzm atatafuta fani, lkn fani ya stand up comedy haiwezi. East Africa ukimtoa Omondi wa pili kansiime.
 
Sikumbuki km nilishawahi kucheka na komedi za janja janja za steve nyerere ila omondi kuna live show comedy moja iyo nilikuwa nacheka kuanzia dkk ya 1-mwisho so steve sio m bunifu yeye komedi yake kubwa ni kumuiga baba wa taifa tu,hater
 
Watu wanachekesha.
Hivi kucheka kunahitaji werevu, mtu kama mchekeshaji haitaji kuwa mwerevu kucheka.
Sasa steve anataka aforce watu wacheke kwa vichekesho vyake wakati hajui kuchekesha ila anaboa.
Siku ile kila mara makonda makonda show nzima makonda tu.
 
Unajua kuna uigizaji, uchekeshaji na utani. Sasa huyo stive ni muigizaji na muonyesha utani, mtu unaweza ongea masaa mawili usicheke.
Stive hawezi mfikia hata yule mkenya chokoraa trick sana.
 
Huyu jamaa pimbi kweli....yeye hata dogo pepe hamfikii, yani huyu na yule jamaa wetu wa BBA hawachekani.....wanafosi fani za watu
 
Back
Top Bottom