steve jobs hakwenda shule!

sir henry

Member
Sep 17, 2011
34
1
Steve Paul Jobs, alizaliwa feb24,1955.akiwa na Umri wa Mwezi mmoja ALIASILIWA na Bwana Paul na Bi Clara Jobs,Steve hakuwahi kuwasiliana na wazazi wake maisha yake yote na hawajulikani walipo mpaka sasa.STEVE JOBS Hakwenda Shule kabisa ! ( wana wa IT mpo ! ) akiwa na miaka kati 15-18 alikwenda India kutafuta elimu ya DINI ( pesa ya safari hiyo ilipatikana kutokana vibarua/kazi ).
1.ni YATIMA 2.ana Elimu ya DINI tu kuna jambo mimi na liamini naomba tufikiri kwa pamoja iwapo ni kweli ? Je kulelewa na wazazi/ mama na baba tangu unazaliwa mpaka una anza majukumu yako mwenyewe ( wengine wana bahatimbaya sikuya harusiyake baba/mama anampa na NYUMBA/GARI ) Inapunguza uwezo wako wa kufikiri / ubunifu / ubinadamu wako halisi .iwapo hujanielewa anza kutafuta ma Great thinkers fuatilia historia zao .natoa hoja
 
Acha kutudanganya...
Alisoma chuo ila aliacha...hebu soma hapa...Steve Jobs - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Sikupenda kuchangia hii thread yako kwasababu haina maudhui kabisa. Ila sababu umegusia kidogo elimu yako basi naomba kukufahamisha kwamba Jobs alisema REED UNIVERSITY for one semister.

Nahisi na wewe hujaenda shule kabisa una akili kidogo to za kukusaidia ku log in kwenye account yako. Kabla ya ku post huu upuuzi wako unge google kidogo tu ungepata details za Steve Jobs.
 
Usipotoshe watu wakaona elimu haifai.Hao watu kama akina Steve walioacha shule(hawana maPHD) na wanafanya mambo makubwa ni wachache sana.Sio kila mtu anaweza kuwa kama wao.
 
usipotoshe watu wakaona elimu haifai.hao watu kama akina steve walioacha shule(hawana maphd) na wanafanya mambo makubwa ni wachache sana.sio kila mtu anaweza kuwa kama wao.

kwani jesus , paul, na wengineo watu wa dini wameenda shule ipi ????
 
Kwani hata hiyo Elimu ya dini si aliipatia shule.? Au haujui nini maana ya shule?.
 
Elimu ni muhimu sana katika maisha.
Ila kama unafikiri au unajiamini kuwa una akili sana kuliko unayofundishwa, acha shule na pursue your dreams.
The dude was a genius and he knew it, the rest is BS.
 
sasa wewe nae unakuja na habari gani hii ya uongo,kwanza unajifanya unamjua steve Jobs wakati ulikuwa hata hujawahi kumsikia hadi alipofariki..acheni kutawaliwa fikra na hawa wazungu..mwacheni sasa apumzike coz hamku mu acknowledge alipokuwa hai..hata alipo resgn Apple mwezi August,kama mlikuwa mnamfahamu mbona sikuona uzi hapa jukwaani..steve job steve job steve job kila mtu..hata bidhaa yake moja hamjawahi kuiona mbali ya kuitumia..wabongo tusisikie kitu!
 
Pumba. Steve amesoma chuo semester moja na hata baada ya kuacha officially bado alikuwa anaingia madarasa randomly.
 
hawa watu ma genius huwa wamepitia shule ila huwa akili yao nafikiri sio ya kukubali kila kitu unacholishwa na utaratibu wa thinking ambayo ni programmed. Hata Einsten ukisoma historia yake walimu wake walikuwa wanampuuzia kuwa hakuwa na kitu darasani.
 
Be serious and be a person of facts. Steve Jobs alisoma High school na aligraduate ila alipofika College alisoma kwa muhula(semester) moja tu. Na ninachofahamu si kuwa alikwenda India akapata elimu ya dini,ila alikwenda India kuonana na kiongozi wa madhehebu ya budha. Yeye alikuwa adopted na baadae aliwafahamu wazazi wake halisi ikiwa ni pamoja na dada yake wa damu. Ila tu akuwahi kuwa na mahusiano na baba yake wa kumzaa bali alikuwa na uhusiano na Mama yake na Dada yake. Maisha ni namna unavyoishi na nini unapenda!! Life doesn't have a real formula. Hata ukizaliwa katika familia ya kitajiri unaweza ukawa ni self made richest.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom