TIQO JF-Expert Member Jan 8, 2011 13,787 2,078 Jun 6, 2013 #1 [h=5]Bar maarufu Kinondoni iitwayo 'STEREO' hivi sasa inateketea kwa moto mkubwa sana,na hata nyumba za jirani zinaathirika..[/h]
[h=5]Bar maarufu Kinondoni iitwayo 'STEREO' hivi sasa inateketea kwa moto mkubwa sana,na hata nyumba za jirani zinaathirika..[/h]
Kongosho JF-Expert Member Mar 21, 2011 35,999 24,164 Jun 6, 2013 #2 Pole kwa waliopata masahibu Mmejaribu kuita fire?
Mamndenyi JF-Expert Member Apr 11, 2011 40,598 52,298 Jun 6, 2013 #3 tz hakuna fire na wakiitwa wanakurupuka wakifika eneo la tukio wanauliza maji yanapatikana wapi. Kongosho said: Pole kwa waliopata masahibu Mmejaribu kuita fire? Click to expand...
tz hakuna fire na wakiitwa wanakurupuka wakifika eneo la tukio wanauliza maji yanapatikana wapi. Kongosho said: Pole kwa waliopata masahibu Mmejaribu kuita fire? Click to expand...
gfsonwin JF-Expert Member Apr 12, 2012 18,274 20,673 Jun 6, 2013 #4 dah! pole zao wahanga. halafu hapo ni jiran na kwa akina TID usikute na nyumba yao imeungua mweeh!
Zamaulid JF-Expert Member May 25, 2009 18,656 13,480 Jun 6, 2013 #6 du nitakuwa napigia wapi kilaji sasa!!!