Steps zipi za kuchukua endapo tanesco wakaunguza vyombo vyangu!

Jitihada

Senior Member
Feb 6, 2011
156
10
Habari zenu wanajamvi? Kwanza poleni kwa makali ya mgao unaoendelea hivi sasa na bila ya kuwa na dalili ya makali ya mgao kupungua achilia mbali kuisha kabisa maana hata wakubwa wanalijua hilo! Ok, sasa leo naomba kujua hatua za kisheria za kuzichukua endapo vitu vyangu vya umeme vikaungua kwasababu ya mgao wa umeme, Maana hali ya mgao inaelekea kubaya, tanesco wamekuwa wakikata na kuurudisha umeme mara kwa mara tena kwa mda mfupimfupi na tayari washaniunguzia vyombo vyangu vya umeme, friji moja, TV moja pamoja na pasi. Nawasilisha hoja.
 
kwanza unaripiti tanesco ofisi ya karibu na wewe....
wanakupa namba ya taarifa,inaitwa tb number....

halafu unaandika barua kwa meneja wa mkoa wako wa tanesco na ukiambatanisha tb number

na ukieleza saa na siku hasda ya tatizo hilo na vifaa vyako..

utalipwa tu,mwisho wake...
 
Funga circuit breaker, funga voltage regulator(stabilizer), na ukisahau kuzima jiko, pasi, oven nk umeme ukaunguza vifaa vyako, utalipwa na wahusika.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom