Stephen Wassira: Nimezipata habari kutoka Vatican na sio Tz

KATIKA KITU AMBACHO CCM IMEFANYA KOSA NA KUENDELEA NALO NI KULIHUSISHA KANISA KATOLIKI NA SIASA, KAMA VIONGOZI WA HILI KANISA WANGEKUWA HAWANA BUSARA KA WASSIRA NA VIONGOZI WENGINE WA CCM BASI HII NCHI ISINGEKALIKA.hIZI NI DALILI TOSHA KWAMBA CCM HAIJAELEKEA KIBLA TU BALI KISU KIMESHATUA KWA AJII YA KUICHINJA, NAJUA HAWATAAMINI KITAKACHOTOKEA 2015, WAENDELEE TU KULITUKANA KANISA KATOLIKI.
 
huyo ni sokwe tu hata sura yake inajonyesha...nasika alimuibia mtu mke wake mpaka jamaa akafa na presha!duh najiluza huyo mke atakuwa anafananaje sura mpaka agombewe na nyani!kwani jamaa hana sifa hata moja ya kuwa mwanaume basi mwanume usiposifiwa kwa sura basi usifiwe kwa vitendo na sio kulala lala mda wote ndo maana hata watoto wake wawili nasikia kuna mashaka kwamba sio wake kunasiku alitaka kwenda kupima dna wazee wakamshauri ataaribu kwani kwa mwanamke yoyote mzuri asingekubali aaribu watoto wake kwa kuzaa na sura isiyoangalika kwenye kioo achilia kulala lala kwake hata mahali asipostahili kulala.kuna demu nasikia alimchukua morogoro wakaingia rum demu akaenda kuoga alivyorudi akamkuta jamaa anaunguruma kama nguruwe alichokifanya nasikia ni 'kummalima' simu yake nya samsungu ana akam'adam malima'pesa kidogo zilozkuwa mezani akatokomea...
 
Hawa ndiyo viongozi watunga sera na washauri wakuu wa Rais; fikiria taifa linaloongozwa na watu wa aina hii litakuwa na mwonekano gani kwa jamii ya kimataifa.

Evolution ni mgeuko wa kiumbe aina ya binadamu kibiolojia zamani tulikuwa nyani ila kila mtu alibadilika kwa spidi wengine polepole kama tyson. Msameheni maana evolution yake haijakamilika
 
Wassira amewambia watu wa karibu yake kuwa amepokea waraka kutoka Vatican unaohusiana na Dr Slaa na kama wakatoliki hawalielewi hilo wafuatilie Vatican.


Ndugu weka Source; usitake kuuteka umma wa JF kwa mada zisizo na source. kama wewe ndiye huyo mtu wa karibu na Wassira tueleze hivyo lakini siyo kuweka thread zisizo kuwa na miguu.

HUELEWEKI KABISAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Huyu wasira nasikia huwa nasubiri malaya pale buguruni sheli,hivyo unaweza kuona unamdiscass mtu wa aina gani
 
Huyu diye mshauri wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Sijui anamshauri Umbeya Majungu Wizi na Umalaya??

Si vema kumuacha hivi hivi mtu mshenzi na mjivuni kama Wasira.


Mtu wa ovyo hana staha mwongo na mwizi hamwogopi Mungu wala ibilisi.
Huyu Nunda anaogopa Pochi na Kuchacha tu.

Hatuhitaji kwenda Vatican kuthibitisha maneno yake kma huyu mjinga anavyotaka ifanyike. Kwake Vatican ni mbali sana na ni vigumu kupata ukweli hasa kama wewe si kiongozi wa CCM.

Hivi huyu Juha mtu pamoja na uwaziri wake hajui tuna balozi wa Vatican hapa ambaye ni msemaji wa Vatican nchini Tanzania??
Balozi wa Vatican kaingizwa kwenye soo hii na huyu Nunda akidhani atakwepa risasi ya ukweli iipigwa kuelekea kichwani kwake.

Ili kuivunja heshia ya Dr Slaa na mtandao wa upinzani viongozi wa serikali ya CCM imebidi kumwiingiza kwa nguvu Kiongozi wa kitaifa ambaye ni Marehemu katika kujenga hoja yao mfu, pia imebidi kuwaingiz Maaskofu wa kanisa katoliki na baraza zima la maaskofu na hata Papa mwenyewe!!!

Kweli uongo una gharama,tena gharama kubwa.
Safi sana mkuu, umetoa maelezo "kuntu" kabisa!

Kiukweli hatuna viongozi.Ni "wajinga wajinga" tu wenye nguvu ya dola
 
Anayoyaongea yanaendana na jinsi umbo na sura yake ilivyo na matendo yake pia! Hiyo sura yake tu ni dalili tosha kuwa alilaaniwa kabla hata ya kuzaliwa. Binadamu wa kawaida hawezi kuwa na umbo kama lile. Ni wa kupuuzwa huyu DUBU.

kwanza wasira huyu kwa kitendo chake cha kulala bungeni kwenye reshalfle inayokuja tumeshamtupa maana hana msaada, sasa sijui atarudi mbugani?

Hivi huyo mzee alitoroka Gombe National park au Mahale National park?
Mtu mwenye busara akivuliwa nguo, uchuchumaa. Yeye anazidi kujianika.

Wajameni huyu mzee tutamkashfu pasipo kuwa na sababu. haya maneno kwa mtazamo wangu ni ya mtoa mada.

Kama ni maneno ya Wassira basi mtoa mada atupatie Source ya uhakika na siyo kusema "amewaambia watu wake wa karibu"

Mbona kauli ya kwanza aliitoa hadharani kwa nini na hii ya utetezi asiitoe hdharani pia na ikiwa bado kampeni zinaendelea kule Arumeru??

Nina mashaka ni maneno ya mtoa mada haya.



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Kosa ambalo Kikwete atakuja kulijutia baadae ni kuendelea kumuamini huyu mzee katika utawala
wake. ili ni boom ambalo linsubili kulipuka
 
Homohabilis Vs Homosapiens. Hata sura yake bado ni ya Great ape bado ina undergo Evolution of Man. therefore brain size ni cc ndogo ndio sababu anaonngea bila aibu.
 
aliyepanga warusha makombora wa CCM kule Arumeru kafanya kosa kubwa kumpa nafasi Wasira! na watajuta kwa hilo! let CDM use this advantage!
 
Kwani mali za RC zote zinamilikiwa na nani kama si Vatikan?

Huyu Wassira anataka watu waamini kuwa yeye ni hodari sana wa kupata data, sasa angetusaidia sana sisi watanzania kutegua kitendawili kigumu kilimchomshinda hata rais wetu: Nani mmliki wa Dowans? Kwako Wassira!
 
Kwanza Wasira si mkatoliki, anajifanya anaufahamu ukatoliki kuzidi wakatoliki wenyewe
 
simshangai wasira kwani hata alipokuwa anakoroma bungeni wakati anakaimu nafas ya pinda bungeni alitoa kauli za uwongo. hihi ni kpioha wazi juu ya kuflisika hoja kwa makada wa magamba.
 
Wassira amewambia watu wa karibu yake kuwa amepokea waraka kutoka Vatican unaohusiana na Dr Slaa na kama wakatoliki hawalielewi hilo wafuatilie Vatican.
KAAZI KWELI KWELI... yaani Wassira ana access ya Vatican kuliko kina Pengo na wenzake! Kweli magamba wakali kama sio ameingizwa mjini na wajanja..
 
Wewe ni Wasira?
Unless you are Mr Wasira, you are not scoring any point fighting tooth and nail to defend him.

It is too much and unbearable burden for anybody who is not Wasira to try to lip stick what Mr Wasira has said in his speech.

The guy, Wasira, gave a speech connecting Dr Slaa with claim of theft from his former employer, the claim which a spokeperson of Roman Catholics in Tanzania has proved beyond doubt that they are unfounded.

For a a high ranked CCM government official of Mr Wasira stature to mouth lies in public, it reveals a fiendish plan borned by CCM to use their leadears as Political attack Dogs to their political opponents.

Do you expect anybody to sit down and ponder a claim of lies and may be come out with something of usiful value?





duuh bonge la povu mdomoni kazi kweli kweli,soma vizuri taarifa ya mtoa mada.Una hakika gani ni kweli aliyoyaandika,uthibitisho gani ulioupata kama nikweli yaliyoandikwa? Tatizo wengi humu JF hukurupuka kuandika kabla ya kutafakari kile waandikacho.Hata hivyo umeonesha chuki na hasira za wazi kwa wassira kitu ambacho kimekufanya utumie maneno makali isivyo stahili,kama matusi yangekuwa yanaruhusiwabila shaka ungetukana.Tafakari kwanza kabla ya kuandika
 
Source please?????
Does not make sense in the first place. Mtoa maada awe ndiyo focus ya michango ya wana JF...otherwise ni mtaka mawazo ya watu na hana ukweli katika mada yake
 
Uongo mwingine ni wa kitoto kabisa, hivi wazee kama hawa huwa wanachaguliwa na watu wa aina gani maana kila akiibuka ni point less, ni vema ukawekwa ukomo wa kutawala ktk katiba ingawa siasa haina umri inabidi hili liangaliwe kwa macho mawili. Uongozi waachiwe vijana na wazee wenye hekima na busara zao wawe washauri tu.

Taijike wassira ni moja kati ya wagombea ambao ushindi wao ulikuwa na mushikeli kwa kiswahili cha bunda wanasema alichakachua.
Vatican wakimwambia adhibitishe atasema alisoma kwenye gazeti la uhuru au aliambiwa na katibu wa itikadi. Kwishineeeei!
 
Back
Top Bottom