Stephen Wassira: Nimezipata habari kutoka Vatican na sio Tz

Hizo ndo sera, (Ikulu mawasiliano, Uratibu na Sera) za kumkomboa mwananchi wa Arumeru!!!
 
Nadhani huyu mzee malaria imepanda kichwani. Wanaambiwa siasa za kizee hazina nafasi kwa kizazi hiki. Ji
tu linang'ang'ania tu vitu havina kichwa wala mguu.kisa kuogopa kivuli cha Dr (wa kweli Slaa). Nadhani hata usiku anaota kishindo cha kamanda Slaa. Jana tumepewa reference ya hukumu yake ya utoaji rushwa jimbo la Bunda. Ataendelea kuchambuliwa tu. Kalumekenge anatakiwa aende shule.
 
Sitaki kuamini kama kweli wananchi wa Bunda walichagua viongozi kama hawa. lakini nisiwahukumu wananchi hawa kwani kuna staili ya chakachua nichakachue nakubwaga bwaaaaa! Natoa wito kwa viongozi wake wa dini kumkalisha bwana huyu chini na kumsaidia kiroho.
 
Kampeini zinazoendeshwa Arumeru ni za kuchafuana. Wangechafuana wao kwa wao, lakini wakati mwingine wanaongea vitu vya kuleta chuki kwa watu wasiohusika. Maneno aliyotamka Mh. Wazira in insult kama hajui kwa Kanisa Katoliki. Yeye alizipata wapi taarifa hizo anazozitamka. Kama amezipata kutokana na kazi yake basi ndiyo tuseme kwamba siri za nchi zinaruhusiwa kuwekwa wazi wakati wa kampeini ili mradi kuchafua hali ya hewa. Pia habari za eti pesa za ujio wa Papa kwamba zimeliwa na Dr. Slaa zinamhusu vipi mgombea wa Chadema? Bado Nissari hajachafuka. Kampeini zilengwe kuwaeleza wapiga kura ni vipi mgombea wa chama fulani ni bora kuliko mwingine. Kuongelea watu ambao siyo wagombea hakusaidii jamii kwa sababu siyo watakayempigia kura.

Au pia Chadema, kama chama, kinahusikaje kwa pesa zinazodaiwa amechukua Dr. Slaa? Dr. Slaa si Chadema, leo yupo kesho atakuwa mwingine. Elezeni sera, msikimbilie kwenye mambo ambayo wala hayahusiki na Kampeini. Msiwachanganye wapigakura wa Arumeru.
 
Hivi yeye Stephen Wasira ni dhehebu gani SDA au Menonite?

Ni SDA, ingawa pia maeneo yao Ikizu na Nyamuswa Bunda na zanaki kiwango kikubwa cha waumini ni SDA na Menonite na kiasi fulani Islam,ndio dini zenye watu wengei sana.Ingawa Roman Cathoric kuna maeneo baadhi kidogo lakini,SDA na Menonite,na jingine linaitwa Jeshi la wokovu yalitawala sana miaka ya sitini.
 
Kama mtu kama
wasira anamshauri
Rais unategemea
nchi itaenda kweli
kwa sababu mawazo
yake ni ya 1935!.
Jk ndo maana nchi
inakushinda,
washauri wenyewe
ndo hao!
ni 2 much
 
hivi komba bado hajajifungua?hiki chama cha ma-mama(c.c.m),sioi katoga masikio,kalaza nywele,wasira mkologo umedunda,tab
 
Aisee, kwa hiyo vatican ndo waliochangisha hela? Ilikuwaje habari za pesa za kumpokea papa ziwe vatican halafu wa tz waliompokea wasizijue? Kweli hii nchi kazi ipo. Kama anadanganya hadi kwenye mambo ya wazi kiasi hiki, je anadanganya kiasi gani katika yale yanayoitwa ya sirikali?

Kwani mali za RC zote zinamilikiwa na nani kama si Vatikan?
 
Wassira amewambia watu wa karibu yake kuwa amepokea waraka kutoka Vatican unaohusiana na Dr Slaa na kama wakatoliki hawalielewi hilo wafuatilie Vatican.
Wasira is frustrated chap sasa anaanza kutuchokoza mpaka Vatican, aangalie asije akakitumbukakiza na chama chake kwenye migogoro ambayo hawataweza kukabiliana nayo
 
Ivi tanzania tuna viongozi au walimu wa chekechea afu ccm mkajipange upya arumeru si yenu tena yani kama ni vicent na dr slaa ndo wagombea arumeru maana mnahangaika nao sana
 
Ukipata viongozi kama hawa wazee mashoga nchi inapelekwa chooni,ndio maana wana kazana wampitishe shoga mwenzao,pumbavu zao.
 
Aisee, kwa hiyo vatican ndo waliochangisha hela? Ilikuwaje habari za pesa za kumpokea papa ziwe vatican halafu wa tz waliompokea wasizijue? Kweli hii nchi kazi ipo. Kama anadanganya hadi kwenye mambo ya wazi kiasi hiki, je anadanganya kiasi gani katika yale yanayoitwa ya sirikali?

Mkuu mimi hapa nimepata kizunguzungu kabisa,yaani sisiemu kwa uongo ni mwisho.
 
KATIKA KITU AMBACHO CCM IMEFANYA KOSA NA KUENDELEA NALO NI KULIHUSISHA KANISA KATOLIKI NA SIASA, KAMA VIONGOZI WA HILI KANISA WANGEKUWA HAWANA BUSARA KA WASSIRA NA VIONGOZI WENGINE WA CCM BASI HII NCHI ISINGEKALIKA.hIZI NI DALILI TOSHA KWAMBA CCM HAIJAELEKEA KIBLA TU BALI KISU KIMESHATUA KWA AJII YA KUICHINJA, NAJUA HAWATAAMINI KITAKACHOTOKEA 2015, WAENDELEE TU KULITUKANA KANISA KATOLIKI.
 
Maana yake:
Taarifa toka VATICAN kwa Pope inafika kwanza kwa WASIRA kisha kwa Polycarp Pengo au Ruwaichi kisha MAPADRE kisha WALEI na mwisho WAUMINI

Taatifa hizi ni pamoja na "Mitaguso". Hii ni kusema kuwa Wasira ni mwakilishi wa Pope hapa Tanzania. Wakatoliki mpo hapo?

I am just thinking and plz help me to think right!

Anayoyaongea yanaendana na jinsi umbo na sura yake ilivyo na matendo yake pia! Hiyo sura yake tu ni dalili tosha kuwa alilaaniwa kabla hata ya kuzaliwa. Binadamu wa kawaida hawezi kuwa na umbo kama lile. Ni wa kupuuzwa huyu DUBU.
 
kwanza wasira huyu kwa kitendo chake cha kulala bungeni kwenye reshalfle inayokuja tumeshamtupa maana hana msaada, sasa sijui atarudi mbugani?
 
Wassira amewambia watu wa karibu yake kuwa amepokea waraka kutoka Vatican unaohusiana na Dr Slaa na kama wakatoliki hawalielewi hilo wafuatilie Vatican.

Hivi huyo mzee alitoroka Gombe National park au Mahale National park?
Mtu mwenye busara akivuliwa nguo, uchuchumaa. Yeye anazidi kujianika.
 
Wassira amewambia watu wa karibu yake kuwa amepokea waraka kutoka Vatican unaohusiana na Dr Slaa na kama wakatoliki hawalielewi hilo wafuatilie Vatican.

Hivi huyo mzee alitoroka Gombe National park au Mahale National park?
Mtu mwenye busara akivuliwa nguo, uchuchumaa kuficha aibu yake. Yeye anazidi kujianika.
 
Back
Top Bottom