Stephen Wassira: Nimezipata habari kutoka Vatican na sio Tz

Uongo mwingine ni wa kitoto kabisa, hivi wazee kama hawa huwa wanachaguliwa na watu wa aina gani maana kila akiibuka ni point less, ni vema ukawekwa ukomo wa kutawala ktk katiba ingawa siasa haina umri inabidi hili liangaliwe kwa macho mawili. Uongozi waachiwe vijana na wazee wenye hekima na busara zao wawe washauri tu.
 
"Mzee wa usingizi" , Mh Stephen Wassira ameendelea kutoa kali kwa kumbana Dr Slaa, Katibu Mkuu wa CDM kwa kusema Dr Slaa ni mkora!
Kwa mujibu wa gazeti la Majira (leo 22/3/2012) lasema,
Na Pamela Mollel, Arumeru
"Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Bw. Stephen Wassira , ameendelea kumsakama Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasiana Maendeleo(CHADEMA), Dkt Wilbroad Slaa, kwa kile anachodai alitumia fedha za ujio wa Papa Mtakatifu John Paul wa II na yuko tayarikutaja kiasi cha fedha alizokula hadharani."

Maoni yangu:
  • Inaelekea ufisadi hauna dini, jinsia wala chama, mzee mzima Dr Slaa hebu jipange kujibu tuhuma hizi kwa ukamilifu.
  • Kuna fine line hapa ya kuanza kuhusisha siasa na character assasination kwa vile kama ni kweli serikali (kupitia Wassira) alikuwa nazo hizi tuhuma, sasa zinatumika kisiasa na kuna hatari ya kuanzisha malumbano ya kidini nchini.
  • Inaelekea vyama vyote sioni CCM wala CHADEMA , vinavyo elezea wananchi wa Tanzania , kupitia uchaguzi wa Arumeru,SERA za kuwaendeleza watanzania.Tumesikia kwa Mzee Mkapa na suala la Vincent Nyerere, Vincent Nyerere mwenyewe, Wassira na Slaa. Nchi inaenda wapi?
 
siasa za maji taka. sijui lini wataanza kutangaza sera za kutukomboa watanzania.
 
Katika gazeti la Habari leo kuna taarifa chimpanzii kaomba radhi kanisa.

Ni hazeti limeamua kumsafisha kama BWM kwa kisingizio cha Maria Nyerere kwa nini asiende akaomba hiyo radhi kule Arumeru alikoropokea povu lake,
 
Ccm iwapeleke viongozi wake kozi za diplomacy

Mkuu hata wakipelekwa hawa jamaa akili zao wameziacha majumbani mwao hawataambulia kitu, wakiwa kwenye kampeni ni kejeli,vitisho na matusi kana kwamba wananchi ndiyo wanataka kuyasikia..chama kikongwe kama hiki kupiga kampeni 'shallow' namna hii ni dalili za kuishiwa 'uongo' waliouzoea, manake wamedanganya mpaka wenyewe wanaogopa kuendelea kudanganya kwahiyo wanaamia kwenye uropokaji..ila ni dalili nzuri za kufikia mwisho kisiasa..
..
 
Hadi mchango wa mtu wa tatu kwenye thread hii, wote wameamini kwamba alichosema mtoa maada ni ukweli mtupu usiopingika, na wametoa michango yao wakitilia hilo maanani, na bila ushahidi wowote kutoka kwa mtoa maada kuhusu ukweli wa mchango wake. Sasa hapa "Mdanganyika" ni nani? Hii ni hatari sana.

Exactly. Hicho ndicho nilitaka kusema. Mleta mada ni gamba bila shaka akitaka iendelee kuonekana Wasira alikuwa na hoja. Mmekwisha.
 
Wassira amewambia watu wa karibu yake kuwa amepokea waraka kutoka Vatican unaohusiana na Dr Slaa na kama wakatoliki hawalielewi hilo wafuatilie Vatican.

Hivi hakuna watu wa karibu yake wa kumwambia Wasira kwamba sasa aanze kumnadi Sioi Sumari maana ndiyo kazi aliyotumwa huko Arumeru na wala sio kukusanya makaratasi ya Vatican?
 
Stage aliyofikia Wassira anahitaji MAOMBEZI. Akumbuke WAKATOLIKI sasa hivi wako kwenye MFUNGO wa Kwaresima. I pray that hawatamsahau katika SALA zao.
 
Wassira amewambia watu wa karibu yake kuwa amepokea waraka kutoka Vatican unaohusiana na Dr Slaa na kama wakatoliki hawalielewi hilo wafuatilie Vatican.

Ili zee ni p**** kabisa,hivi linafikiria kanisa katoliki linaongozwa kwa mtazamo wake yeye au propaganda zake?kweli mwl Nyerere na huyo askofu aliyesema jana kua watu wenye mawazo ya namna hiyo ni watu walioishiwa sera kichwani hawakukosea!hv huyu mzee ana elimu kweli?wassira hawadanganye watu wenye akili za kiwango chake!
 
"Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Bw. Stephen Wassira , ameendelea kumsakama Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasiana Maendeleo(CHADEMA), Dkt Wilbroad Slaa, kwa kile anachodai alitumia fedha za ujio wa Papa Mtakatifu John Paul wa II na yuko tayarikutaja kiasi cha fedha alizokula hadharani."

[/I]

Kutumia kuna tatizo gani kama kuliidhinishwa na mamlaka husika? kwanini awe tayari kusema kwamba 'alitumia' lakini kiasi alichotumia ni kidogo..au ma-informer wake wanampa habari nusunusu..Mzee anazidi kupoteza hata kale kaheshima kadogo kalikobaki kwa kuongea vitu asivyokuwa na uhakika navyo...

Hivi huko Arumeru anatumia rasilimali za chama au serikali? Mlioko huko mtujuze..
 
Wassira amewambia watu wa karibu yake kuwa amepokea waraka kutoka Vatican unaohusiana na Dr Slaa na kama wakatoliki hawalielewi hilo wafuatilie Vatican.


Wassira ni nani katika Dini la wakatoliki mpaka apate yeye ndio apewe waraka ambayo wakatoliki hawana. Asituletee wizi wake wa kura. Amefilisika kisiasa mizee kama lile kusema uongo sijui anafundisha nn watoto wake. Ushindi au heshima auletwi kwa kusema uongo. Lakini mungu amemlaani kwa kuua Ndege (Ndege Insurance)
 
Wassira amewambia watu wa karibu yake kuwa amepokea waraka kutoka Vatican unaohusiana na Dr Slaa na kama wakatoliki hawalielewi hilo wafuatilie Vatican.


Lakini haya yote yanafaida gani kwa wameru?
 
duuh bonge la povu mdomoni kazi kweli kweli,soma vizuri taarifa ya mtoa mada.Una hakika gani ni kweli aliyoyaandika,uthibitisho gani ulioupata kama nikweli yaliyoandikwa? Tatizo wengi humu JF hukurupuka kuandika kabla ya kutafakari kile waandikacho.Hata hivyo umeonesha chuki na hasira za wazi kwa wassira kitu ambacho kimekufanya utumie maneno makali isivyo stahili,kama matusi yangekuwa yanaruhusiwa bila shaka ungetukana.Tafakari kwanza kabla ya kuandika
Huyu diye mshauri wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Sijui anamshauri Umbeya Majungu Wizi na Umalaya??
Si vema kumuacha hivi hivi mtu mshenzi na mjivuni kama Wasira.


Mtu wa ovyo hana staha mwongo na mwizi hamwogopi Mungu wala ibilisi.
Huyu Nunda anaogopa Pochi na Kuchacha tu.

Hatuhitaji kwenda Vatican kuthibitisha maneno yake kma huyu mjinga anavyotaka ifanyike. Kwake Vatican ni mbali sana na ni vigumu kupata ukweli hasa kama wewe si kiongozi wa CCM.

Hivi huyu Juha mtu pamoja na uwaziri wake hajui tuna balozi wa Vatican hapa ambaye ni msemaji wa Vatican nchini Tanzania??
Balozi wa Vatican kaingizwa kwenye soo hii na huyu Nunda akidhani atakwepa risasi ya ukweli iipigwa kuelekea kichwani kwake.

Ili kuivunja heshia ya Dr Slaa na mtandao wa upinzani viongozi wa serikali ya CCM imebidi kumwiingiza kwa nguvu Kiongozi wa kitaifa ambaye ni Marehemu katika kujenga hoja yao mfu, pia imebidi kuwaingiz Maaskofu wa kanisa katoliki na baraza zima la maaskofu na hata Papa mwenyewe!!!

Kweli uongo una gharama,tena gharama kubwa.
 
Ndiyo maana Mbowe alimpa ukweli Wasira hadi akataka kurusha ngumi. Ilikuwa baada ya kusema kuwa serikali ya JK ni lege lege sana na ndiyo maana kila kitu kinakwenda mrama. Ndipo Mbowe akaeleza hivi (tena kwa sauti ya upole),

...Serikali yenyewe ndiyo hii hii, na mawaziri wenyewe ndiyo hawa hawa.......
 
Wassira ni Mlezi wa ccm mkoa wa Arusha. Yuko Arumeru kwa ridhaa ya chama na katika hali ya kawaida kila analosema ndilo alilotumwa na ccm, walau mtandao wake Wassira. Hivyo basi ni dhahiri kuwa CCM wamedhamiria kupambana na kanisa katoliki, vinginevyo kama wasingekubaliana na anayosema Wassira chama kingetoa tamko. Kwa kukaa kimya maana yake wanakubaliana na yale yote anayosema Wassira.

Sasa turudi nyuma, ni kwa nini ccm imeamua kupambana na kanisa katoliki badala ya kumnadi mgombea wao Sioi Sumari? Jibu ni rahisi, CCM wanahujumiana. Anachofanya Wassira ni kuhakikia anavuruga every chance ya Sioi kupata kura. Vita yao ya ndani imepata uwanja - Arumeru Mashariki. Team ya Sioi wangemtoa huyu baba maana hawamtakii mema Sioi.
 
Back
Top Bottom