Stephen Wasira Kuongoza Mashambulizi Uchaguzi mdogo Kanda ya Ziwa

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Wadau
Kuelekea Uchaguzi wa Madiwani siku chache zijazo CCM imeamua kuongeza mashambulizi ili kujihakikishia ushindi. Makada wakongwe na Viongozi wa Kitaifa wanaelekea huko Nwanza wakiongozwa na Mhesh Stephen Wassira.Aidha katika timu hiyo pia atakuwepo Waziri wa Mambo ya Ndani Mhesh Mwigulu Nchemba, Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi Mhesh Abdalah Bulembo na Mbunge wa Mtera Livingston Lusinde
 
Hahahahahaha..

Yani hao mfuu ndio wa kuiokoa CCM??

Hivi hiki Chama kipo serious kweli?!

Anyway endeleeni kuwekeza kwenye kununua Viongozi wa upinzani..

Jumapili hamchomoki kwenye sanduku la kura.
 
Wacha wafu wazikane, ila wanasubiria karata ya mwisho ambao ni kuiba kura.
 
livingstone,na wasira lazima watakosea tu,msishangae mkinyimwa kura huko lekizoni
 
Back
Top Bottom