Mhe. Masele: Kiongozi Kijana TZ asiyeogopa lolote (CV Attached)

Vitendo

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
582
103
Mhe. Stephen J. Masele, Naibu Waziri wa Nishati & Madini jana kwa kujiamini amesema Balozi wa Uingereza nchini ni jasusi na anao ushahidi akifanya Ujasusi TZ. Hapa nimeambatanisha CV yake kwa wale ambao hawanayo ili tukimjadili uwe unamjua angalau kwa kiasi Fulani alianzia Kazi huko kama Afisa Mikopo, katika benki za Standard Chartered kasha Stanbic na hatimaye TIGO halafu akapata bingo/zali/bahati ya Ubunge 2010 hatimaye uwaziri. Huenda 2015 akawa mgombea urais. Nawasilisha
 

Attachments

  • Masele_CV.doc
    188.5 KB · Views: 5,657
Huyu nasikia ni moja ya vijana waliokuwa katika kundi la Ridhiwani Kikwete, na hata jana matokeo ya Shinyanga Mjini yalibadilishwa kwa shinikizo lake kwani naye alikwenda kuongeza nguvu.

nakwambia nchi hii inavurugwa na hawa watoto wanaojiita wenye nchi
 
wanaharibu Taifa,
mimi nasema adui mkubwa wa TAIFA hili ni Kikwete , Mkewe na watoto wao, Ridhiwani na yule mbwia maunga , shika mkoba wa fedha
 
Huyu jamaa alikuwa mzibua vyoo uwanja wa ccm kirumba mwanza,miaka 4.nashangaa huo uzoefu wa siasa kuupata wapi!ndo maanna analazimisha. Pussy i mean paka
 
Ipo siku tutaamua kuwaua wewe ngoja tu watupeleke ndivyo isivyo! na huyo Mbunge wao ataishia miaka hiyo 5 hatarudi tena. mimi nashangaa sijui atakuja kumwakilisha nani hapo Shy.
 
jamani hii familia ya kikwete hii,chukueni ccm ila nchi ni ya kwetu wote,Stephen masele ni swahiba wa ridhiwani jamani kikwete na familia yako tuachieni shy mjini yetu,ohoooo tumechoka mbona mnaing'ang'ania hivi kuna nini huko mwataka kuiba?
 
Kikwete anataka Tanzania iwe monac itawaliwe na ukoo wa Kikwete lakini watanzania siyo wajinga kiasi hicho. Mbona watoto wa Nyerere wengine wako upinzani. Unajua kweli Nyerere alikuwa anaipenda Tanzania. Hakuwafundisha watoto wake kushikana na mafisadi kwa kupenda pesa.
 
huyu ni rafiki/swahiba/classmate? Wa ridhiwani. Ndio ameit ia shy hasara. Shida ni CCM kuendeshwa kama duka la mhindi, familia ni kiini na wanachama wengine wamekuwa kama wale waswazi wanaolinda mali nje ya duka. Wana ccm inabidi muwe na msimamo wasiwachakachue ndani ya chama. Chama ni t aasisi si family bussness ya makamba na jk
 
Hawa mwisho wao ni mbaya kwa sababu kikwete ana miaka 5 tu kama kweli akishinda baada ya hapo watoto wake hatakuwa na sauti watasahaulika katika historia ya siasa ya tanzania. Sasa hivi watanzania tumebadilika. Si walitkiwa na mpango wa kumfanya mtoto wa mwinyi kuwa raisi wa zanzaibar, mbona imeshindikana?
 
Ndugu zangu ninawaonea huruma sana ccm na kama wakiendelea kuwalealea kikwete na makamba wake, watakiona cha mtema kuni ifikapo 2015. hako kakijana nasikia kalikuwa tigo kalifukuzwa baada ya kuonekana kanaitumia tigo kujijenga kisiasa. kalianza kutoa "mlungula" kwa wanachama wenzake wa ccm tangu kakiwa tigo. inasemekana kapo karibu sana na riziwan. ndugu zangu vijana hawa waache watuchezee, sunami itakapowafikia watatamani ardhi ipasuke na nguvu ya umma siku zote hu-prevail.
 
Namkubali sana huyu jamaa... na kwa fununu naskia yu miongoni mwa mawaziri watarajiwa.. namfahamu au kumsikia kupitia bungeni.. Napenda nimjue kiundani.. wadau mwenye kumfahamu zaidi au mwenye CV yake ya ukweli pliiz anianikie hapa niisomw na kwa faida ya wengine pia.
 
Namkubali sana huyu jamaa... na kwa fununu naskia yu miongoni mwa mawaziri watarajiwa.. namfahamu au kumsikia kupitia bungeni.. Napenda nimjue kiundani.. wadau mwenye kumfahamu zaidi au mwenye CV yake ya ukweli pliiz anianikie hapa niisomw na kwa faida ya wengine pia.

Wewe mbumbumbu ndiyo Masele mwenyewe unajifanya eti unamuulizia eti Masele, yaani unajipigia debe tu hapa. Wala wana JF musichangie hiyo mada
 
CV yake:1.2010 alimshinda mgombea wa CHADEMA kwa tofauti ya kura 1,mgombea wa CHADEMA alikata rufaa aka RIP. 2. Kanumba alionyesha nia kugombea 2015 aka RIP.3.Wote wanaoonyesha tofauti naye wna RIP
 
Masele ni inhumane, alipora haki ya wapiga kura 2010 kwa nguvu akishirikana na polisi na viongozi wengine wa kimagamba. Go to hell Masele ...
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom