Stephen Masele wa Shinyanga ni nani?


Vitendo

Vitendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2009
Messages
608
Likes
18
Points
35
Vitendo

Vitendo

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2009
608 18 35
Hivi huyo mtajwa hapo juu ana nini hasa hadi kusababisha jengo la Halmashauri ya Manispaa ya shinyanga kuchomwa moto na watu kuendelea kupigwa mabomu hapo mjini shinyanga?
naomba kujua huyu jamaa ana umaarufu gani na hiyo jeuri ya kupingana na sauti ya umma anaitoa wapi?
 
K

Kazibure

Member
Joined
Oct 25, 2010
Messages
16
Likes
0
Points
3
K

Kazibure

Member
Joined Oct 25, 2010
16 0 3
Huyu nasikia ni moja ya vijana waliokuwa katika kundi la Ridhiwani Kikwete, na hata jana matokeo ya Shinyanga Mjini yalibadilishwa kwa shinikizo lake kwani naye alikwenda kuongeza nguvu.

nakwambia nchi hii inavurugwa na hawa watoto wanaojiita wenye nchi
 
Jidundufila

Jidundufila

Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
86
Likes
0
Points
13
Jidundufila

Jidundufila

Member
Joined Nov 2, 2010
86 0 13
Ni kimwenyekiti cha uvccm pale mkoa wa shytown nasikia kilikuwa kinafanya kazi tigo
 
nguvumali

nguvumali

JF Bronze Member
Joined
Sep 3, 2009
Messages
4,891
Likes
198
Points
160
nguvumali

nguvumali

JF Bronze Member
Joined Sep 3, 2009
4,891 198 160
wanaharibu Taifa,
mimi nasema adui mkubwa wa TAIFA hili ni Kikwete , Mkewe na watoto wao, Ridhiwani na yule mbwia maunga , shika mkoba wa fedha
 
K

king ndeshi

Senior Member
Joined
Oct 31, 2010
Messages
135
Likes
0
Points
33
K

king ndeshi

Senior Member
Joined Oct 31, 2010
135 0 33
Huyu jamaa alikuwa mzibua vyoo uwanja wa ccm kirumba mwanza,miaka 4.nashangaa huo uzoefu wa siasa kuupata wapi!ndo maanna analazimisha. Pussy i mean paka
 
Job K

Job K

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Messages
8,254
Likes
4,400
Points
280
Job K

Job K

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2010
8,254 4,400 280
Ipo siku tutaamua kuwaua wewe ngoja tu watupeleke ndivyo isivyo! na huyo Mbunge wao ataishia miaka hiyo 5 hatarudi tena. mimi nashangaa sijui atakuja kumwakilisha nani hapo Shy.
 
M

Mkandara

Verified Member
Joined
Mar 3, 2006
Messages
15,460
Likes
189
Points
160
M

Mkandara

Verified Member
Joined Mar 3, 2006
15,460 189 160
Huyu jamaa alikuwa mzibua vyoo uwanja wa ccm kirumba mwanza,miaka 4.nashangaa huo uzoefu wa siasa kuupata wapi!ndo maanna analazimisha. Pussy i mean paka
Duh... kazi kweli kweli!
 
Victoire

Victoire

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2008
Messages
10,817
Likes
8,546
Points
280
Victoire

Victoire

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2008
10,817 8,546 280
jamani hii familia ya kikwete hii,chukueni ccm ila nchi ni ya kwetu wote,Stephen masele ni swahiba wa ridhiwani jamani kikwete na familia yako tuachieni shy mjini yetu,ohoooo tumechoka mbona mnaing'ang'ania hivi kuna nini huko mwataka kuiba?
 
Sokomoko

Sokomoko

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2008
Messages
1,918
Likes
24
Points
135
Sokomoko

Sokomoko

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2008
1,918 24 135
Kuna almasi shinyanga hanjui?
 
K

Kagalala

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Messages
2,373
Likes
93
Points
145
K

Kagalala

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2010
2,373 93 145
Kikwete anataka Tanzania iwe monac itawaliwe na ukoo wa Kikwete lakini watanzania siyo wajinga kiasi hicho. Mbona watoto wa Nyerere wengine wako upinzani. Unajua kweli Nyerere alikuwa anaipenda Tanzania. Hakuwafundisha watoto wake kushikana na mafisadi kwa kupenda pesa.
 
mama yuva

mama yuva

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2010
Messages
222
Likes
11
Points
35
mama yuva

mama yuva

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2010
222 11 35
huyu ni rafiki/swahiba/classmate? Wa ridhiwani. Ndio ameit ia shy hasara. Shida ni CCM kuendeshwa kama duka la mhindi, familia ni kiini na wanachama wengine wamekuwa kama wale waswazi wanaolinda mali nje ya duka. Wana ccm inabidi muwe na msimamo wasiwachakachue ndani ya chama. Chama ni t aasisi si family bussness ya makamba na jk
 
C

Challenger M

Member
Joined
Oct 31, 2010
Messages
81
Likes
0
Points
13
C

Challenger M

Member
Joined Oct 31, 2010
81 0 13
Hawa mwisho wao ni mbaya kwa sababu kikwete ana miaka 5 tu kama kweli akishinda baada ya hapo watoto wake hatakuwa na sauti watasahaulika katika historia ya siasa ya tanzania. Sasa hivi watanzania tumebadilika. Si walitkiwa na mpango wa kumfanya mtoto wa mwinyi kuwa raisi wa zanzaibar, mbona imeshindikana?
 
Gosbertgoodluck

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Messages
2,865
Likes
33
Points
0
Gosbertgoodluck

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2008
2,865 33 0
Ndugu zangu ninawaonea huruma sana ccm na kama wakiendelea kuwalealea kikwete na makamba wake, watakiona cha mtema kuni ifikapo 2015. hako kakijana nasikia kalikuwa tigo kalifukuzwa baada ya kuonekana kanaitumia tigo kujijenga kisiasa. kalianza kutoa "mlungula" kwa wanachama wenzake wa ccm tangu kakiwa tigo. inasemekana kapo karibu sana na riziwan. ndugu zangu vijana hawa waache watuchezee, sunami itakapowafikia watatamani ardhi ipasuke na nguvu ya umma siku zote hu-prevail.
 
barafu

barafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Messages
6,318
Likes
26,593
Points
280
barafu

barafu

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2013
6,318 26,593 280
Duuuh...kweli JF ni hazina,Kumbe Masele ushindi wake ulisababisha ofisi kuchomwa??
 

Forum statistics

Threads 1,252,180
Members 482,015
Posts 29,799,241