gunga yenna
Member
- Apr 11, 2019
- 90
- 25
Mwafaka mwafaka mwafaka!!! Masele aendelee na majukumu yake EALC bila vikwazo ni hazina hiyo!!Well said Maselle. Waafrika bado tuna ile tabia ya unyanyasaji kingono hivyo huyu kijana amefanya vizuri ku highlight hili. Ndungai anapingana na Waziri mkuu hapo. Ngoja tuone mwisho wake.