Stephen J.J. Owawa: Naomba kujibu baadhi ya hoja zilizotolewa juu yangu hapa JF

Binafsi nakupongeza sana , na ukiwa bukoba utajijenga sana kisiasa kwani bukoba mjini kuna siasa za aina yake maana hata njia mpya za wizi wa kura kutoka ccm zimeanzia bukoba mjini. OWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA, unaweza na ugombee tu
 
owawa kaza buti but fahamu 2015 watu wengi tuko safarini kuelekea rorya kulikomboa jimbo,binafsi nitagombea kupitia cdm,,nimehitimu udom,nina ambition na nia ya kulikomboa jimbo nikiwa na sera ya rorya kwanza,,,maana yake ni ipi??yoyote atakae shinda kura ya maoni nitamuunga mkono kwa moyo safi kwa kutumia nguvu na fadha yangu ilimradi awe anaipenda cdm,rorya na kuthibitisha kua anaichukia ccm...mimi tayari nimeshaanza mchakato kwa kata za tai na bukura...nami ni mkazi wa sota,,,,owawa goooooooooooooooo.......karibu tufanye siasa natutawasiliana mapema ili kujipanga kwani hatugombei ufito.....

JALUO mpo wapi??? 2015 ndio hii....
 
Last edited by a moderator:
kapambane kaka unafaa sana nadhani unaona mshikaji wako kwenye mapambano ya REV sQURE pale UDSM silinde alipambana na sasa ni mh
 
ፈጨሰኸመበጸፈደቸሸዠ ሐጠጨነመከኸኘቀ ሸረተሰ
 
Yule jamaa mhaya mlikuwa mnashirikiana pale mlimani kwenye migomo yuko wapi? Hongera kamanda nakuombea ushindi huko jimboni kwako.
 
Kaazi kwelikweli.......Unaajianzishia thread unajiomba CV yako mwenyewe,Unajijibu........Dah,haya bana jifanyie promo

Nimeipenda hii.Nilijiuliza nani kamuuliza hayo Mawili.. Jamaa msanii kwelikweli
 
Wapendwa wana JF kuna post iliyoomba CV yangu kwa madai kuwa alikuwa katika utafiti katika wilaya yetu ya Rorya na kuzua baadhi ya maswali na majibu ya ukweli kutoka kwa watu tunaofamhamiana katika harakati,Nashukuru kwa wale walionipigia simu na wale wote waliotoa majibu ya ukweli kwa kile wananchokijua juu yangu,Bado nadhani kuna baadhi ya mambo humu yanahitaji majibu kutoka kwangu au kusema ukweli ili ukweli utuweke huru japo kuna ya kujibu hasa yale ya msingi ila siyo kujibu ya uongo.Naomba kujibu haya:


  1. Jina: Stephen Juma Johnson Owawa
  2. Nilipo: Bukoba-Kagera
  3. Kazi:Mkaguzi (Auditor) ofisi ya Taifa ya Ukaguzi
  4. Elimu: Primary-Ratia primary School-Rorya,Sekondary-Arwing secondary School-DSM,A-Level-SHYCOM shinyanga-ECA,Chuo,University of Dar es Salaam (B.COM-Accounting)
  5. Kuhusu kumaliza Chuo:Nimemaliza UDSM 2010 baada ya kufukuzwa mara nyingi kutokana na kupinga sera ya elimu ya juu hasa mfumo dhania ya uchangiaji
  6. Kushiririki uchaguzi jimbo la Rorya 2010: Nilishiriki katika uchaguzi kupitia CHADEMA kama mratibu wa kampeni wa Mgombea Ubunge Martin Ochola Ndira kuanzia kuhame kwake NCCR kuja CHADEMA na kushiriki kwa mwezi moja kwenye kampeni
  7. Kugombea Ubunge Rorya: Ni haki ya kikatiba kwa mtu yeyote ili mradi atimize matakwa ya sheria

Wana JF kama kuna maswali ya msingi na ya Ukweli yanayostahili kujibiwa nitayajibu kwa maana ya ukweli wake nilionao na uhalisia wake kutoka kwangu.

Naomba kuwasilisha.


dah owawa, wewe upo? odong yu wapi siku hizi, machibya je?
 
Hakuna sehemu niliyosema kuwa naacha kazi kugombea ubunge ila kama kugombea ubunge au udiwani ni njia bora zaidi kuchangia maendeleo kuliko kazi vyote vinaweza kupimwa
Sheria taratibu na kanuni za utumishi wa umma zinasemaje mtumishi kufanya tafuatayo
kujihusha na siasa.
kugombea nafasi ya kisiasa.
kama hufahamu hakikisha unayafahmu kwanza ndio uendelee na siasa
 
Back
Top Bottom