Stephen J.J. Owawa: Naomba kujibu baadhi ya hoja zilizotolewa juu yangu hapa JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Stephen J.J. Owawa: Naomba kujibu baadhi ya hoja zilizotolewa juu yangu hapa JF

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by owawajr, Jul 13, 2012.

 1. owawajr

  owawajr Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wapendwa wana JF kuna post iliyoomba CV yangu kwa madai kuwa alikuwa katika utafiti katika wilaya yetu ya Rorya na kuzua baadhi ya maswali na majibu ya ukweli kutoka kwa watu tunaofamhamiana katika harakati,Nashukuru kwa wale walionipigia simu na wale wote waliotoa majibu ya ukweli kwa kile wananchokijua juu yangu,Bado nadhani kuna baadhi ya mambo humu yanahitaji majibu kutoka kwangu au kusema ukweli ili ukweli utuweke huru japo kuna ya kujibu hasa yale ya msingi ila siyo kujibu ya uongo.Naomba kujibu haya:


  1. Jina: Stephen Juma Johnson Owawa
  2. Nilipo: Bukoba-Kagera
  3. Kazi:Mkaguzi (Auditor) ofisi ya Taifa ya Ukaguzi
  4. Elimu: Primary-Ratia primary School-Rorya,Sekondary-Arwing secondary School-DSM,A-Level-SHYCOM shinyanga-ECA,Chuo,University of Dar es Salaam (B.COM-Accounting)
  5. Kuhusu kumaliza Chuo:Nimemaliza UDSM 2010 baada ya kufukuzwa mara nyingi kutokana na kupinga sera ya elimu ya juu hasa mfumo dhania ya uchangiaji
  6. Kushiririki uchaguzi jimbo la Rorya 2010: Nilishiriki katika uchaguzi kupitia CHADEMA kama mratibu wa kampeni wa Mgombea Ubunge Martin Ochola Ndira kuanzia kuhame kwake NCCR kuja CHADEMA na kushiriki kwa mwezi moja kwenye kampeni
  7. Kugombea Ubunge Rorya: Ni haki ya kikatiba kwa mtu yeyote ili mradi atimize matakwa ya sheria

  Wana JF kama kuna maswali ya msingi na ya Ukweli yanayostahili kujibiwa nitayajibu kwa maana ya ukweli wake nilionao na uhalisia wake kutoka kwangu.

  Naomba kuwasilisha.
   
 2. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Nimeambiwa kwamba 2015 CCM watamsimamisha Mama Gaudensia Kabaka (Waziri wa Ajira na Vijana) baada Lameck kairo kusema hatagombea. Vipi huo ubavu wa Mama Kabaka utaumudu?
   
 3. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Utashi wa kisiasa ndio utakaoamua nani atakua mbunge, sio umri wala cheo alichowahi shikilia mtu. Muulize MASHA nini kilimtokea?
   
 4. owawajr

  owawajr Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kabaka anaweza kugombea jimbo la Tarime na bado atashindwa vibaya ila Jimbo la Rorya hawezi kugombea kama anataka kuepuka aibu ya kutopata kura. Ajaribu.
   
 5. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Kwa nini unataka kuacha kazi ya ukaguzi ili uwe mbunge? Nijibu swali hili halafu nikuulize kuhusu Rorya
   
 6. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
  Kwani Mama Kabaka ni Akinyi?
   
 7. owawajr

  owawajr Member

  #7
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hakuna sehemu niliyosema kuwa naacha kazi kugombea ubunge ila kama kugombea ubunge au udiwani ni njia bora zaidi kuchangia maendeleo kuliko kazi vyote vinaweza kupimwa
   
 8. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #8
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Wenye wivu watakumind hadi utakoma. Wakikuzingua sema Neema ya Bwana inatosha. Mungu akikubariki hapindishi kama vipi wape hiyo kitu. Tuko pamoja Bukoba hapa :

  Judith Babirye Omukisa video - YouTube
   
 9. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #9
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Wewe timiza ndoto yako. Ila baba yangu safari ni safari alitaka ujibu kuwa kule Bungeni kuna poshoz nzuri ukilinganisha na unakofanya. Pia mwambie hata mwalimu Diamond Gangwe ( Shycom) aliacha Ualimu akawa refa!!!
   
 10. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  sikiliza kaka,ukiamua kugombea ubunge ina maana unapoteza kazi yako ya sasa hivi,jibu lile swali pale juu
   
 11. owawajr

  owawajr Member

  #11
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kama kugombea ni njia bora ya kukomboa wananchi kuliko kazi,ni bora kupoteza kazi kwa kushiriki ukombozi zaidi.
   
 12. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Karibu Rorya - Shirati - Minigo - Butiama!

  Jacaduogo - Diwani mtarajiwa kata ya Nyahongo (CHADEMA).
   
 13. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Mi nakushauri 2015 si mbali kuwa karibu na wananchi wako.japo kwa ushauri..
   
 14. owawajr

  owawajr Member

  #14
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jacadugo2 endelea kujipanga,Makamuzi pamoja sana kwa ushauri
   
 15. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #15
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Owawa,
  kila la kheri
   
 16. owawajr

  owawajr Member

  #16
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ero kamano TELO=asante sana TELO
   
 17. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #17
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kaka nakufahamu sana tangu upo Daruso rafiki wa kaka yangu George, wewe ni mtu makini na unaweza. Nitakkunga mkono, pamoja tukaijenge Mara yetu
   
 18. Freeland

  Freeland JF-Expert Member

  #18
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 14,468
  Likes Received: 6,761
  Trophy Points: 280
  Kaazi kwelikweli.......Unaajianzishia thread unajiomba CV yako mwenyewe,Unajijibu........Dah,haya bana jifanyie promo
   
 19. Freeland

  Freeland JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 14,468
  Likes Received: 6,761
  Trophy Points: 280
  Owawa,wewe sio makini,nimesoma na wewe darasa moja.Unakumbuka wewe ulianzisha mgomo baadae ukahongwa na kina mkandala ukataka kuusitisha.Lakini wapambanaji wa ukweli akina Silinde wakaendeleza moto_Owawa,your true color is not known.
   
 20. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #20
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwani wewe umekatazwa kujianzishia thread yako? kasema jana kuna mtu alianzisha thread kutaka kujua CV yake, so leo kaja mwenyewe kueleza kwa ufasaha.
   
Loading...