sema battle na Point za Kiranga siwezi..maana ana point mpk anaweza kukuondoa kwenye mstari ukajikuta unaishiwa Hoja unabaki unaongea Pumba less.msijaribu kunchanganya..MUNGU yupo nimesema kama hutaki sikulazimishi.
Hujathibitisha, unahubiri.
Sijaomba mahubiri, nimetaka uthibitisho.
Hata mimi naweza kuhubiri kwamba Comrade Kipepe, yule kibonzo wa gazeti la Sani, ndiye Mungu aliyeumba mbingu na dunia, na kaumba alivyotaka yeye.
Utakubali?
Kimsingi, mtu anayesema Mungu yupo, bila ya kuwa na ushahidi, ni mtu mwenye kuamini habari za uwepo wa Mungu.sema battle na Point za Kiranga siwezi..maana ana point mpk anaweza kukuondoa kwenye mstari ukajikuta unaishiwa Hoja unabaki unaongea Pumba less.
ili kuficha ninachowaza...mimi ntamjibu kwa jibu 1 kua MUNGU YUPO...akinambia nimpe ushahidi nitamjibu jibu la pili kwamba SINA...mjadala utaishia hapo.
Vita ya debate na huyu kiumbe ngumu sana kuishinda maana anatetea vitu vyenye uthibitisho ila wengine tunakubali tusivyoweza vithibitisha.
SO
Mungu yupo...na staki ulizwa A wala B.nimemaliza.
Logical non sequitur.Soma Aya ya 4.
Mungu ameumba mbingu na ardhi.
Sasa kama wewe unabisha.
UNATAKIWA UTUAMBIE MBINGU NA ARDHI HAJAUMBA MUNGU.
alafu ututajie aliyeziumba View attachment 1147570
Kama unajua kusoma basi utakuwa na upungufu kweñye kipengele cha pili.Ndio najua kusoma na ndiyo maana baada ya kusoma ulichoandika ndipo nikauliza hilo swali.
Nilisema awali kwamba angalia sana usije ukatokomea mazima kama Yesu alivyotokomea.First of all, sina sababu ya kumjua KIRANGA but I wanna make him avoid complacencies.
The man is too complacent kwa sababu ameridhika na mambo anayoyajua yeye na hayupo tayari kufundishwa wala kuelekezwa kitu ambacho hakijui.
Siwezi kutokomea kwa hoja nyepesi kama hizi Mkuu.
I'm ready to proceed defending Sir God against your claim.
Sawa ila naomba kuuliza,wewe unawezaje kuitambua harufu(kuwa ndiyo yenyewe ama sio) ambayo inadaiwa ni ushahidi katika kuthibitisha uwepo wa Mungu?Kama unajua kusoma basi utakuwa na upungufu kweñye kipengele cha pili.
Nacho ni cha kuelewa.
Laiti ungekuwa unajua kusoma na kuelewa bila shaka ungeelewa kwamba jibu la swali lipo kwenye hiyo hiyo comment yangu.
Hebu fanya uisome vizuri na kuielewa!.
Mtu ambaye anaweza kusema hataki kujadiliana na wewe kisa hujasoma kitabu fulani ambacho yeye amesoma,kwamba ukitaka kujadiliana nae basi kwanza lazima ukasome hicho kitabu na ukimalize ndio uje kujadiliana nae.Nilisema awali kwamba angalia sana usije ukatokomea mazima kama Yesu alivyotokomea.
Nadhani post yako hii imesadifu nilichokisema,umesepa!.
Kuhusu Kiranga kusema karidhika na anachokijua na hataki kujifunza toka kwa wengine napingana nawe.
Mshikaji hayuko hivyo,anapenda kujifunza toka kwa wengine.
Ndiyo maana kaweka kitabu cha Stephen Hawking hapa.
Shida yenu ni pale mnapoleta maelezo ama maandiko yasiyokuwa na logical consistence huku mkilazimisha watu wayameze kama yalivyo.
Hapo lazima mpate shida aise!.
Hujathibitisha uwepo wa Mungu.Sawa ila naomba kuuliza,wewe unawezaje kuitambua harufu(kuwa ndiyo yenyewe ama sio) ambayo inadaiwa ni ushahidi katika kuthibitisha uwepo wa Mungu?
Hukuniambia mie nithibitishe,mie nitokea kukuuliza swali baada ya maelezo yako hivyo huwezi kuniambia nithibitishe kwanza.Hujathibitisha uwepo wa Mungu.
Thibitisha kwanza uwepo wake halafu ndiyo tusonge mbele unapopataka.
Unakumbuka swali lako lilitokana na swali langu lililotaka nini?Hukuniambia mie nithibitishe,mie nitokea kukuuliza swali baada ya maelezo yako hivyo huwezi kuniambia nithibitishe kwanza.
Nimekuuliza swali muhimu.
Wewe ulikuwa unataka uthibitisho kutoka kwa mtu uliyekuwa ukijadiliana nae.Unakumbuka swali lako lilitokana na swali langu lililotaka nini?
ndo serikali yetu ya sasa . wanamquote mungu kila sekunde wapatayo while wana abuse human rights and their constitutional powers , at the same time wamewaconvince a large group of people that they are doing it for the good of the country.
And they are succeeding because of people's prayers.. ! ! ! ! ! ! ! last time i believed in this was when i was 15 ,
its sad that there are adults who would rather you keep quiet than prove to them that their whole life philosophy is a lie.
Moreover they have been used and abused.
Dini ya Mungu inayohusiana na wanasiasa na siasa sijui ni dini gani? Lakini ukweli ni kwamba ukizungumzia dini- mfano ya Kikristo - sidhani kama inaruhusu/kuhusiana moja kwa moja na kuchanganya dini na siasa.
Hivyo inakubalika kuheshimu serikali. Ingawa hairuhusiwi kushiriki katika mambo ya kisiasa, bali kuheshimu mamlaka za serikali zinazotutawala. Jambo hilo linapatana na amri ya Biblia inayosema: “Kila nafsi na ijitiishe kwa mamlaka zilizo kubwa.” (Waroma 13:1 ) Tunatii sheria, tunalipa kodi, na kuunga mkono jitihada za serikali za kuandaa hali bora kwa ajili ya raia. Badala ya kushiriki katika jitihada za kubadili serikali, tunafuata shauri la Biblia la kusali kwa ajili ya “wafalme na wale wote walio katika cheo cha juu,” hasa wakati ambapo wanafanya maamuzi yanayoweza kuathiri uhuru wa ibada.
Eti kwamba kiongozi flani amatokana na Mungu - Uongo mweupe.
"The leader who works for the people is not made by the Heaven. The leader who works for the people is created by the hands of the people themselves. "
Unavyoquote barua za biblia kama moral highground inaonyesha tayari huwezi fikiri nje yake.Dini ya Mungu inayohusiana na wanasiasa na siasa sijui ni dini gani? Lakini ukweli ni kwamba ukizungumzia dini- mfano ya Kikristo - sidhani kama inaruhusu/kuhusiana moja kwa moja na kuchanganya dini na siasa.
Hivyo inakubalika kuheshimu serikali. Ingawa hairuhusiwi kushiriki katika mambo ya kisiasa, bali kuheshimu mamlaka za serikali zinazotutawala. Jambo hilo linapatana na amri ya Biblia inayosema: “Kila nafsi na ijitiishe kwa mamlaka zilizo kubwa.” (Waroma 13:1 ) Tunatii sheria, tunalipa kodi, na kuunga mkono jitihada za serikali za kuandaa hali bora kwa ajili ya raia. Badala ya kushiriki katika jitihada za kubadili serikali, tunafuata shauri la Biblia la kusali kwa ajili ya “wafalme na wale wote walio katika cheo cha juu,” hasa wakati ambapo wanafanya maamuzi yanayoweza kuathiri uhuru wa ibada.
Eti kwamba kiongozi flani amatokana na Mungu - Uongo mweupe.
"The leader who works for the people is not made by the Heaven. The leader who works for the people is created by the hands of the people themselves. "
Kuna jamaa aliwahi niulizaProof 1. Using physics.
1. God is said to be the epitome of perfection.
2.Perfection, as expressed in thermodynamics language, is the lowest possible entropy level that cannot be lowered further. Any deviation from this lowest possible entropy is deviation from perfection. The second law of thermodynamics covers that.
3.The lowest possible entropy is nothingness.
4. If God is perfection, then God is nothingness.
5.If God is nothingness, then God does not exist.
Proof 2, abstract logic.
1. God is said to be all knowing, all loving and all capable.
2. An all knowing, all loving and all capable God would not like to see anyone suffer, that would contradict his all loving nature.
3.An all knowing, all loving and all capable God would have the means to create a universe in which suffering is not possible, in fact he wouldn't lack the capability make all existence suffering free. Allowing suffering anywhere would contradict his all knowing, all loving and all capable natures.
4. We do see suffering in the world. This contradicts the existence of the all knowing, all loving and all capab;le God.
5. This all knowing, all loving and all capable God cannot co exist with suffering. This is a mutually exclusive existence. Either this God exists and suffering is impossible, or suffering is possible and this God does not exist.
6. Suffering exists.
7. Therefore, this God does not exist.
We wasemaAkiweza, atakuwa hawezi kubeba jiwe, asipoweza, atakuwa hawezi kutengeneza jiwe.
Vyovyote vile, Mungu muweza yote ni kamba tupu.