Wewe sema umeshindwa kujibu hoja ndo maana unatafuta kuhamisha mada ambayo pia\ imejibiwa. Jibu hoja zilizotajwa juuHujajibu swali nililokuuliza, na ulilojibu sijakuuliza.
Unaelewa hilo?
Wewe sema umeshindwa kujibu hoja ndo maana unatafuta kuhamisha mada ambayo pia\ imejibiwa. Jibu hoja zilizotajwa juuHujajibu swali nililokuuliza, na ulilojibu sijakuuliza.
Unaelewa hilo?
WE MACHOG NJOO UJIBU HAPAHivi unaelewa ulicho kiandika ?
Tofauti kati ya kujua na kuamini ni ipi ? Je huanza kuamini kisha kujua au kinyume chake ?
Kama Mungu wa Biblia ni wa kweli, mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, aliweza kuumba ulimwengu vyovyote alivyotaka.Wewe sema umeshindwa kujibu hoja ndo maana unatafuta kuhamisha mada ambayo pia\ imejibiwa. Jibu hoja zilizotajwa juu
Kama Mungu wa Biblia ni wa kweli, mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, aliweza kuumba ulimwengu vyovyote alivyotaka.
Kwa nini ameumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kutokea, wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea?
Umelielewa swali?
Unaweza kulijibu?
Kama umelielewa na unaweza kulijibu, lijibu.
Kama hujalielewa, uliza ueleweshwe.
Angalizo, jibu kama umeelewa swali tu.
Umeshindwa kumuelezea kimantiki Mungu wa Biblia, kwa sababu haelezeki kimantiki, kwa sababu hayupo.Siwezi kukulazimisha kuelewa ndo maana umekimbia hoja ya msingi ya Big bang...Period and out
Imani ni neno lenye matumizi sahihi kidini
Kiranga nimegundua hata wewe mwenyewe huelewi unachokishikilia.Kama Mungu wa Biblia ni wa kweli, mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, aliweza kuumba ulimwengu vyovyote alivyotaka.
Kwa nini ameumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kutokea, wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea?
Umelielewa swali?
Unaweza kulijibu?
Kama umelielewa na unaweza kulijibu, lijibu.
Kama hujalielewa, uliza ueleweshwe.
Angalizo, jibu kama umeelewa swali tu.
Wewe huelewi hata ninachouliza ni nini.
Hiki ndicho unaweza kimbilia...Wewe huelewi hata ninachouliza ni nini.
Tatizo unajifanya kwamba unajua kila kitu, na kinyume chake ndio sahihi.
Una ubishi wa kitoto, na kama ungekuwa una nia ya kujua kama Mungu yupo hill lingeshaisha muda mrefu.
Tatizo unajifanya mjuaji.
Umeulizwa huko juu kuhusu Socrates hujatoa jibu mpaka sasa.
Uchawi na Shetani ni Mali na mmiliki wake, sasa unasema kama Shetani/uchawi upo basi Mungu hawezi kuwepo!!??
Kwamba kama uovu upo Na mahakama inayohukumu waovu haipo sababu mahakama inayopenda watu waishi kwa ustaarabu haiwezi ruhusu?
Sihitaji kukupa definition ya hayo unayouliza Ila Niko tayari kukupa nauli nikupeleke Tanga ama Morogoro nikufikishe kwa wazee ukajionee mwenyewe...!
Ubishi wa kujijaza kichwa kwamba unaakili sana kwa kupinga uwepo wa Mungu haukusaidii.
Ungekuwa na akili sana ungefanya mambo yanayoisaidia jamii yetu ya Afrika kupiga hatua, lakini wapi..., umekalia "Hakuna Mungu, hakuna Mungu"
Tuna Ebola, tuna Malaria, tuna Magonjwa ya mimea, tuna shida za maji, umeme kama UNA AKILI SANA, mbona usifanye kutoa mchango wako kwa jamii tukusifu, tuseme Kiranga ana akili kavumbua hiki na kile?
Hujajibu nilichokuuliza, ulichojibu sijakuuliza.Hiki ndicho unaweza kimbilia...
Ungekuwa unaelewa unayoulizwa na kutoa majibu nafkiri huu mjadala usingalikuwepo. Unachofanya ni kutembeza Uzi tu kwa kudokoa dokoa vitu na Siku zimeenda basi...Haelewi ninachouliza ni nini.
Kwa hivyo, hawezi kujibu.
Hujajibu nilichokuuliza, ulichojibu sijakuuliza.Ungekuwa unaelewa unayoulizwa na kutoa majibu nafkiri huu mjadala usingalikuwepo. Unachofanya ni kutembeza Uzi tu kwa kudokoa dokoa vitu na Siku zimeenda basi...
Naweza kujibu, na kabla ya kukupa jibu ndipo nikakuambia dunia kuwa na mabaya haimfanyi Mungu kutokuwapo.Hujajibu nilichokuuliza, ulichojibu sijakuuliza.
Kama Mungu yupo, kaumba ulimwengu huu, ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.
Kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kuwepo, wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Tuseme sikatai kuwepo kwa Mungu, nauliza niweze kumuelewa tu.
Unaweza kujibu swali hili?
Alipoumba ulimwengu aliacha utashi kwa binadamu wa kufuata mazuri aua mabaya,sasa haya ni maamuzi yake na hatujui kwanini aliamua hivyo na hakuna wa kuuliza kwanini aliamua hivyo ,he is God,a living God...Hujajibu nilichokuuliza, ulichojibu sijakuuliza.
Kama Mungu yupo, kaumba ulimwengu huu, ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.
Kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kuwepo, wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Tuseme sikatai kuwepo kwa Mungu, nauliza niweze kumuelewa tu.
Unaweza kujibu swali hili?
Hata wewe hujaelewa swali. Ndiyo maana wengi hufeli mitihani.Alipoumba ulimwengu aliacha utashi kwa binadamu wa kufuata mazuri aua mabaya,sasa haya ni maamuzi yake na hatujui kwanini aliamua hivyo na hakuna wa kuuliza kwanini aliamua hivyo ,he is God,a living God...
Alishawahi kusema jiwe ni kiumbe haiTeh.....
Mi nshawahi wauliza dini ya kweli ni ipi uislam au ukristo
Huyo zurri alichonijibu , sure ni idiot