Kaswamila86
Member
- Aug 18, 2011
- 9
- 0
Wakuu,nimechaguliwa chuo hiko,mnisaidie nipate jua gharama zake,nimepata BED- arts mkopo 3,262,500 nawasilisha wakuu cz nimetry kuangalia web yao hamna ki2..

Wakuu,nimechaguliwa chuo hiko,mnisaidie nipate jua gharama zake,nimepata BED- arts mkopo 3,262,500 nawasilisha wakuu cz nimetry kuangalia web yao hamna ki2..

ulipga dvshen ngap kaka ? maana hcho chuo huwa hakipatag wanafnz wa dv 1 na 2.

hbu acha kusumbua watu nenda kwenye web ya chuo,hbu toka haraka saana humu

mi nmemaliza hapo bachelor of accountancy,.ada zao ni 1600000(tuition fee tu kwa course) per month na kuna cost zngne ndogo ndogo znafika 95000 plus hostel 336000/year. Na website yao ipo poa tu cjui ka umejaribu kupita huko.

hiki chuo ni tawi la tumaini zamani kilikuwa kinajulikana kama ''Masoka''. Kipo Moshi.

Ni chuo kizuri sana ,na hata mazingira yake. Ni mazuri. Ila hiyo programu uliyochaguliwa nadhani itakuwa inafundishwa campus ya mjini Moshi kwa sababu Main campus ipo Kibosho na kina campus mwika na moshi mjini.

Kuhusu mkopo,ada uwa inalipwa na bodi direct chuoni. Wewe unachopata ni pesa ya accomodation,meal na stationary. Kwa hiyo unachopaswa kujua ni asilimia ya ada unayolipiwa na bodi,ili uweze kujua kiasi unachopaswa kulipwa.

Hcho chuo mkuu wake ni m2 mwenye masters,na wao huwa wanategemea walimu kutoka muccobs,so u cn imagne ka chuo knategemea walimu toka muccobs,kuna cha maana hapo?
hiki chuo ni tawi la tumaini zamani kilikuwa kinajulikana kama ''Masoka''. Kipo Moshi.
Ni chuo kizuri sana ,na hata mazingira yake. Ni mazuri.

yan wewe kusoma Udsm bas we kila chuo ni kibovu, chambua vitu kisomi bwana.

kumbe ulishamsoma jamaa? Anaona udsm kila ki2 yaani! Ni ulimbukeni huo!