Stendi mpya Sinza balaa

Manyerere Jackton

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
2,436
4,429
Nimefika hapa kujionea stendi mpya. Hali ni mbaya sana vyooni. Kinyesi kimetapakaa ovyo. Abiria na wageni wanalipa sh 200 kwa huduma za hovyo kabisa. Wanakusanya pesa tu. Kipindupindu kitabisha hodi. Manispaa na jiji wanastahili lawama. Hali ni mbaya.
 
Afadhali ww mwandishi umetembelea hapo japo cjui umeenda kikazi au ndio ulibanwa na haja ndio ukaingia hapo chooni, ila nenda ukapaze sauti gazetini
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom