Steaming ipi inajaza nywele?

gilldenu

JF-Expert Member
Mar 25, 2015
2,914
3,002
Wapenzi habari zenu? Nawapenda sana

Haya nisaidieni mrembo mwenzenu nirembuke na mimi. Nahitaji steaming nzuri ya kufanya nywele zangu zijae.

Nywele nimeweka dawa ya Olive Oil. Je, ni steaming gani nzuri nitumie?

Karibuni kwa michango yenu
 
Wanayo ila cjajua kama ni nzuri nywele znajaa au mkuu ushawahi tumia???
Kwa mtazamo wangu na experience...olive oil steaming sana sana huwa inalainisha nywele zaidi ya kujaza. Cholestrol ndo zinajaza nywele na kua strong.
 
Kwa mtazamo wangu na experience...olive oil steaming sana sana huwa inalainisha nywele zaidi ya kujaza. Cholestrol ndo zinajaza nywele na kua strong.
Anhaa Santee best ntajaribu kutumia Io cholesterol
 
Wapenzi habari zenu? Nawapenda sana

Haya nisaidieni mrembo mwenzenu nirembuke na mimi. Nahitaji steaming nzuri ya kufanya nywele zangu zijae.

Nywele nimeweka dawa ya Olive Oil. Je, ni steaming gani nzuri nitumie?

Karibuni kwa michango yenu
Karibu sana madam nikupatie steaming oil 0759827138
 
Write your reply...Mi naomba msaada wa dawa nzuri ya box kwa nywele ngumu na nyingi 😴😴 nimejaribu mega ila haijanisaidia kabisaaa
 
Write your reply...Mi naomba msaada wa dawa nzuri ya box kwa nywele ngumu na nyingi nimejaribu mega ila haijanisaidia kabisaaa
Ulikua unatumia mega profective ipi?
Kama ni regular jaribu kutumia mega profective super..hiyo inakua kali zaidi.
 
Maisha hayako fair kabisa

Wakati mtu anatafuta steaming ya kujaza nywele,wengine tunatafuta ya nywele kuwa chache
 
Back
Top Bottom