Steaming ipi inajaza nywele?

cynee

New Member
Jun 28, 2016
1
0
Habari,

Jamaani naombeni mnisaidie ni steaming ipi nzuri inajaza nywele, nywele yangu imekuwa very weak.
 
Hair mayonize naona iko poa, nkifumua nywele ntazipiga picha uone zilivyo jaa kama weaving
 
Steaming ya hyena inajaza haraka sana..... niliitumia kipindi Fulani mpaka nikaichukia, nywele zilijaa too much!
 
Back
Top Bottom