Stay warned christmas is satanic

Unajua mambo kama haya mimi yananichefua kabisa, wewe uko huko kyela kwenu ata umeme hakuna, hiyo dini umeletewa na wazungu karne ya ishirini kama siyo ya ishirini na moja, tayari umeshakua na maarifa ya kushindana na watu wenye uelewa walioko kwenye huo utaratibu karne nyingi nyuma wakati mababu zako wakicheza ngoma na kuabudu miungu.
 
Rafiki inawezekana una point, lakini ulivyoianza, na timing yake sio sahihi sana sana unataka kuanzisha zogo hapa!! jiendae !! nashauri uiondoe tu, muda sio muafaka!! Leo watu mawazo ni X mass halafu unaanza mahubiri utaning'inizwa!! ni kwanini mwaka mzima hukuileta hapa?

Ni sawa sawa na mtu anakwambia mwanamke au mwanaume uliye naye ana kasoro a, b, c, wakati ushaonja utamuu weee tena mtu anakwambia hayo wakati unajaindaa kwenda kumega, utamuelewa? sana sana atakuona mzushi tuuuu.
 
Jamaa naona unataka kupata kick kwa issue ya Christmas Jesus alizaliwa au hakuzaliwa duniani
 
Uhuru wa kuabudu uheshimiwe hata kama anaabudiwa shetani.Ukichunguza sana utakuta shetani ameenea sana kila mahali yupo na ana watu wake wengi.Ni imani tu ndiyo humpa mtu mtazamo wa kuona mambo ni ubaya au uzuri.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom