Stay at Home: Mambo muhimu ya kuzingatia wakati upo nyumbani kipindi hiki cha corona

cutelove

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
3,311
7,494
Serikali inasisitiza social distance au stay at home ili kupunguza maambukizi ya covid 19, kwa lugha nyingine tulio jilockdown mapema kabla ya hali kubadilika

Mambo ya kuzingatia kipindi hiki cha kujiweka lockdown

1. Uwe na chakula cha kutosha ndani,maji,umeme,mtungi wa gase uliojaa na mkaa wa kutosha

2. Baby wa kukupigisha stories, wa kukusumbua kila wakati,ili kukuondolea msongo wako wa mawazo

3. MB's kwenye sim au laptop za kutosha ili kuperuzi habari za corona na screen yako pale sebuleni

4. Kama sebule ni kubwa punguza punguza vitu kama sofa hamishia chumbani au vyumba vingine ili sebule ibaki na screen, bufa na vyombo vya kupikia, na uhamishe godoro la kulalia sebuleni ili kupunguza movement za hapa na pale.

5. Hapo sebuleni inaweza ikawa sehemu ya gym wewe na mpenzi wako na pia sehemu ya michezo yenu

6. Kuepuka usumbufu wa wageni unaweza kuandika bango ukabandika nje ya geti au mlango#Lockdown, nipigie 065........kama una shida ya lazima#

7. Kwa walio na familia, watengee watoto wako vyumba vya kuchezea au kujisomea au wasiende nje ya ua bila ruhusa, punguza muingiliano wa watoto na wazazi huko kwenye vyumba vya kulala.

8. Tafuta Chanel ambazo ni familia ili kupunguza aibu kwa wazazi na watoto kwa picha za aibu

9. Wafundishe wanao kwa njia ya mtandao, wape kazi nyingi kuwa- keep bize

10. Funga mlango wa chumbani kwa komeo na weka sauti ya redio muingiapo kupumzika na mwenzio hasa mchana

Lockdown njema #Stay at home#

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom