Hiyo Sekretarieti huwa haipangiwi...
Mtihani kwakweliWanazingua hawa bhasi tu,mbaya zaidi watoto wa maskini ndo tunahangaika na ajira portal wenzetu wanaenda moja kwa moja kwenye viti vyao
Walimu mambo yao ya ajira yanashughulikiwa na TAMISEMI na sio Ajira PortalHabar wakuu,naomba mwongozo.Hivi karibun ajira portal wamenitumia email kunitaka nifanye update ya CV yangu..
Nikaanza mchakato huo.Ila kuna kipengele kimeniacha hoi cha kuweka uzoefu,jina la supervisor na namba yake.Pia kituo nilichopatia huo uzoefu,kiufup ni mengi.
Nipo kada ya elimu(mwalimu),wakat ulipita tulipoaply,vipengele hivyo pia vilikuepo.Kinachonishangaza ni namna vimeachwa kama sehem ya kudum ya aplication form.
Swali:Kwa wale ambao hawajajitolea ,hivyo hawana cha kujaza kwenye uzoefu,watapata nafas kweli ya ajira za ualimu miaka hii?
Tupeane uzoefu wakuu.
Hali ni mbaya sana.Nimehesabu ni kama nafasi kumi tu ndio zipo kati ya sekta zote.
Hali ni mbaya sana.
Haitaondoa tatizo.Omba watu wafe na wastaafu
Ni update tu, sio kwamba nawafuatilia sana.Mkuu unaumiza kichwa na hao Jamaa nafasi moja wanaita watu 800. Angalia walioitwa kufanya usaili TRC.
Ngoja upate kazi kesho alafu tuombe ufe kesho kutwa au ufukuzwe kazi...Omba watu wafe na wastaafu
HahaaaaaNgoja upate kazi kesho alafu tuombe ufe kesho kutwa au ufukuzwe kazi...