Statement za CAG, TAKUKURU zote sio conclusive

Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,699
1,225
Zitto

Everything you quoted once more kwenye majadiliano...sio CAG, TAKUKURU, TRA wali-conclude kwa hakika beyond doubt kwamba zilikuwa za serikali... Hakuna sehemu hiyo kwenye report ya CAG.

Aliyonayo hiyo sehemu ambayo imesema TRA, CAG, TAKUKURU wame-dhitisha in writing kwamba hizo hela ni za serikali.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom