Queen Esther
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 2,195
- 1,417
Zito kwanza unapenda sana kuandika kingereza kuonesha unalenga mataifa fulani hasa mabeneru kufikisha ujumbe wako wa kulialia kila siku. Kumbuka wapiga kura wako ni waswahili wenzio.
Pili kabla hujawasifia hao mabeberu kwa demokrasia hebu fungua kurasa zao uweze kuzosoma ikiwa na sound mind ndipo unyooshee kidole viongozi wa Afrika.
Jaribu kuwa mkweli kidogo na tuwekee nchi unayoona imepiga hatua kubwa katika demokrasia tuanze kukupa data humu JF.
Mwisho, wavurugaji wa demokrasia ni hao mabeberu ili wapate mlango wa kupitia. Demokrasia ya kushinda mitandaoni kutukana watu ni tofauti kabisa na demokrasia ya kujenga hoja ili kuleta matokeo chanya.
Wewe ni Mbunge, jipange utoke kivingine.