state of the art school!

BUSARA6

JF-Expert Member
Jan 8, 2007
357
50
9534_179942535338_747855338_4355325_7952301_n.jpg
 
Tanzania.. Tanzania ...Nchi Yenye Mali nyingi...Watu wengi wa Ulaya...Wanaililia sanaaaaaaa......>>>

Aibu!
 
hapo si DRC? mbona watu wanangángána , Mungu ibariki bongo.
 
Kwa taarifa hio ni moja ya shule za kata zilizoanzishwa na serikali ya awamu ya nne yapata miaka mitano iliyopita. huyo mwalimu mwenyewe wa voda fasta ajaingia class bado anapalilia mbaazi hukooo !!!! Kwa mtindo huuu unadhani zile 82% ( kufeli ) zitapungua !!!!! Ohhhhooo tuna shule nyingi zinazokidhi mtaala wa elimu bongo !!!
 
Shishangai jimbo hilo au Wilaya hiyo ni ngome ya SSM!!! Kwa nini wasichoshwe Oktoba 2010?? Tangu SSM izaliwe na kushika hatamu, kwa nini wasibadilike maana yenyewe imeshindwa kuwabadilisha?? Kijiji nilichosomea sikuwahi kukaa chini kuanzia nursery school!! Nilipopata fursa ya kuja DSM (nikiwa bado mdogo nasoma kijijini-nilikuja kutembea kwa ndugu jamaa na marafiki, si unajua tena extendend family)!! Nilishangaa kuona madarasa DSM hayakuwa na madawati?? Japo pia nilishangaa maendeleo yake mengine ambayo hayakuwa kijijini kipindi kile (umeme). Nikashangaa wenyeji wangu maji yalikuwa ya shida wakati kijijini tulikuwa na chemichemi, mifereji na maji ya bomba!!! Kweli Tanzania tembea uione makuuu!!!
 
Hii iko bomba sana,nadhani hujaziona zilizo kwenye hali mbaya.hii shule ina bati shule imejengwa kwa mawe etc hay ni maendeleo ati nyie mmetokea wapi kum....yo zenu?
 
Picha hii ya lini? Baada ya mpango wa MMEM naamini kabisa tanzania ilishatoka enzi hizo. Sasa hivi ni ngumu sana kukutana na picha za shule kama hii labda huko Chanika walikopelekwa waanga wa Kipawa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom