Tatizo hapa ni kuwa hatujui hata kama kweli tuwalaumu hawa watu kwa sababu hatujui hata kama kweli walikipigia kura CCM au ni NEC imetupandikizia JK na askari wake wa kimamluki kutuongoza isivyo halali na kinyume cha sheria.......kutokana na mazingira haya siyo kosa kuwapigajeki jamaa hawa walalahoi wa CCM kwa sababu hata wao ni waathirika wa mfumo kandamizi wa CCM na JK wake...............
Mkuu Ruta,
Tutawalaumu sana NEC kwa kuchakachua lakini ukweli unabaki palepale wananchi wengi sana wameipigia kura CCM, na hii inadhihirishwa zaidi na uwingi wa wabunge wa CCM.
Ni kweli wengi sana watalaumu ila kuchukua hatua hawawezi. Watanzania wengi wanachukulia vyama kiunazi zaidi bila kuangalia sera na vision ya chama; kuna watz wengi pia wana mitazamo ya kidini, i am afraid wengi mtakataa lakini hilo lipo.
Angalia distribution ya kura hapa Tanzania you will know what i am talking about.