Starz vs Morocco Live TBC1 na maumivu juu!!!

Mrimi

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
1,691
633
Kuanzia saa 4:30 usiku wa leo wale wenye roho ngumu na akina Tomaso washuhudiea kichapo. Kiukweli hapa uzalendo hauapply, tutakuwa tunapingana na ukweli.

Kila la heri kwenyu nyote.......
 
Eeeee Mola wape subra TANESCO watuachie umeme tushuhudie hiyo mechi!!
 
hata kama tukifungwa mia haitatubadilisha kutokuwa watanzania so tushirikiane jamani kwa haya maumivu ambayo tutayapata leo usiku tumeshaumia sana tangu mwanzo vimaumivu hivi vya leo visitutishe.
 
Haina majotroooooo TBC mkichemsha tunakuja ofisini kwenu kulipua TRANSFORMER NYINGINE!!!
 
Yote mnayosema ni kweli lakini mngepeleka jukwaa la Michezo ingependeza zaidi hata kwa mabishano.
 
Back
Top Bottom