Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,079
- 8,219
Wajinga kama wewe sijui mtakuja kuisha lini!! Badala ya kufurahi sasa hivi vyombo vya habari vimeanza kufunguka baada ya mbinyo wa miaka 5, wewe unasema eti hawamwogopi Hangaya!!! Watumwa kama nyinyi ndiyo mnalirudisha nyuma taifa, mmezoea kupelekeshwa na kutishwa kama mambuzi, akitokea mtu fair basi nyie mnauchukulia huo ufair kama udhaifu.Hata mimi nimenoti star tv wamebadilika safari hii.
» Kipindi cha nyuma walikuwa wanaalika wageni wa upande mmoja tu au mgeni kinzani ni aina ya akina john cheyo
» Kwenye matangazo ya kujiunga na bbc ikitokea habari ya moto wanakata matangazo.
Juzi kati kuna kipindi cha jioni mtangazaji alikuwa anawahoji raia katika maeneo ya kinondoni kuhusu tozo, waliinanga sana serikali. Kipindi hiki ingekuwa nyuma huko kisingeruka kabisa.
Nahisi Dialo alikuwa anamwogopa Magufuli lakini alikuwa hamkubali. Lakini sasa hamwogopi Hangaya, hamkubali na anajua hawezi kumfanya kitu.