StarTV wanajitahidi sana kutokuwa waoga. Media nyingine zimeufyata, hawaibui hoja zozote kinzani (in a positive way) kwa Serikali na CCM

Hata mimi nimenoti star tv wamebadilika safari hii.

» Kipindi cha nyuma walikuwa wanaalika wageni wa upande mmoja tu au mgeni kinzani ni aina ya akina john cheyo

» Kwenye matangazo ya kujiunga na bbc ikitokea habari ya moto wanakata matangazo.

Juzi kati kuna kipindi cha jioni mtangazaji alikuwa anawahoji raia katika maeneo ya kinondoni kuhusu tozo, waliinanga sana serikali. Kipindi hiki ingekuwa nyuma huko kisingeruka kabisa.

Nahisi Dialo alikuwa anamwogopa Magufuli lakini alikuwa hamkubali. Lakini sasa hamwogopi Hangaya, hamkubali na anajua hawezi kumfanya kitu.
Wajinga kama wewe sijui mtakuja kuisha lini!! Badala ya kufurahi sasa hivi vyombo vya habari vimeanza kufunguka baada ya mbinyo wa miaka 5, wewe unasema eti hawamwogopi Hangaya!!! Watumwa kama nyinyi ndiyo mnalirudisha nyuma taifa, mmezoea kupelekeshwa na kutishwa kama mambuzi, akitokea mtu fair basi nyie mnauchukulia huo ufair kama udhaifu.
 
Star TV inajaribu kujifufua baada ya mwendazake kuondoka, mbona hawakufanya hivyo vipindi jamaa akiwepo?
It's looks like that..maana jamaa wanapiga spana bila uoga yaani..na kitu ambacho inabidi kiwe hivyo..lazima watu wahoji mbona CCM wanajinafasi tu huku serikali ya CCM ikivibana vyama vingine?..Democrasy iko wapi?
 
Kiukweli ITV super brand Africa masharikii .... iko powa .. Farhia Middle
Ni moja ya Tv na Redio mbovu kabisa. Vipindi vyao vya michezo na Habari nadhani ndiyo ya mwisho kwa ubora. Wanasoma habari km wanakimbizwa, hawana details, km wameokoteza.

Michezo bora hata Wapo redio
 
Back
Top Bottom