Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,761
- 71,145
Naangalia hapa kipindi hicho na Leo kinazungumzia Nishati na madini.
Ni wazi kuwa kipindi hiki hapo awali kilikuwa na mvuto katika mijadala yake kwa kualika watu wenye weledi mkubwa katika mada zake. Lakini sasa hivi kimekuwa kama kipindi cha kutetea serikali ya ccm kwa kualika makada wa ccm walewale kila siku na wasio na weledi halisi katika mada husika.
Ni bora kukipuuza kwani sasa kimekuwa cha kupotosha na kipo kisiasa zaidi kutetea ccm na sio kuchambua mambo kwa faida ya nchi. Inawezekana mmiliki wa kituo ambaye ni Diallo Mwenyekiti wa ccm Mkoa wa Mwanza ana mkono wake hapo.