Startv Tafadhali..

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,713
12,063
Kwanza nawapongeza kwa ubunifu wenu. Kwasasa taarifa zenu za habari zinanivutia, na huwa sikosi kuangalia.

Tatizo lenu lipo kwenye lile tubwasha mnalolishika wakati wa taarifa ya habari huhusani saa mbili usiku.
Ni kubwa sana na linashusha hadhi ya ubunifu wenu.
Tafadhali naomba mtafute medium size ya lile dubwasha.
 
Ni ushauri mzuri,mimi huwa napenda sana kumuangalia kamuntu akisoma taarifa ya habari... zile mbwembwe zake zinanikosha sana.
 
star TV wapo juu sana na habari zao pia ni nzuri sana kwa kweli , mimi naona wao kwa sasa ndio mfano wa kuigwa kwa hapa tanzania.
ila kuhusu ilo dubwasha nadhani ni ushamba tu wa huko mwanza utakuwa unawasumbua , kwa hiyo tuwasamehe tu bure maana hawajui walitendalo..
 
Mbona sasa hivi star tv hamuonekani kwa kupitia internate mnatukosesha habari jamani
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom