Startv na RFA wana tofauti gani na Lawrance Masha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Startv na RFA wana tofauti gani na Lawrance Masha?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kazibure, Dec 30, 2010.

 1. K

  Kazibure Member

  #1
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Katika kuangalia na kusikiliza vyombo vya StarTV na RFA sijawahi kusikia habari yeyote inayohusu wabunge wa Nyamagana na Ilemela wakipewa coverage katika shughuli zao zote wanazozifanya ziwe za kichama wala kijamii. Je hawa wanatofauti gani na Masha aliyeng'oa vitasa katika ofisi ya Mbunge? Jamani hebu tusaidieni mawazo yenu labda nyie mmewahi kusikia habari za Chadema toka katika vyombo hivyo.
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  bado sijaelewa unazungumzia nini..... Masha..? Ilemela...? Nyamagana..? au Chadema..?
   
 3. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Mmiliki wa StarTV alikuwa ni Mbunge wa Ilemela, kwahiyo sidhani kama watu wake wanaweza kutangaza maendeleo yoyote ya Wilaya za Mwanza Mjini yaani Ilemela na Nyamagana, Mmiliki ni Former Mheshimiwa Anthony Diallo

  Lakini toka kwa watu maarufu Mwanza wanasema Anthony Diallo na Lau Masha walikuwa hawali meza moja... walikuwa wanapigana vijembe
   
 4. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  startv na rfa hata kama wanamilikiwa na mwana ccm kidogo wanaafadhali katika habari zao kwa chadema na wabunge wao kuna wakati wanawaalika wabunge wa chadema knye vipindi vyao, ei Wenje kuna cku nilimsikia tuongee asubuh na startv. tofauti na chanel 10 hawaonyeshi kabisa habari ya chadema
   
 5. K

  Kazibure Member

  #5
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Namaanisha kwamba huyo bwana aliyeng'oa vitasa na huyu bwana anaewanyima coverage hawa waheshimiwa naona kama vile wako sawa tu, yaani hawataki maendeleo kwa waheshimiwa wapya
   
 6. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Je! Umepata kutazama uchambuzi wao wa magazeti kupitia RFA/Star tv saa kumi na mbili na nusu asbh na hawakuzisoma coverage zilizobeba magazeti siku hizo? Kwa mfano all major news papers hapa nchini zilitoa coverage TANZANIA DAIMA, NIPASHE, MAJIRA, MTANZANIA vili-cover kung'olewa kwa vitasa hapo Nyamagana na hata kule Mbeya mjini.
  Itapendeza ukichek kwa website za magazeti halafu try to refer on those days wali-cover nini,,
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Dec 30, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180

  Unataka wabunge wa CHADEMA wauze sura kwenye tv?
  Hawakutumwa na wapiga kura kuuza sura, bali kuleta maendeleo.
  Nenda kaangalie shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao utaona.
  Karatu hakuna tv lakini maendeleo huwezi kuyalinganisha na majimbo yanayoongozwa na ccm.
   
Loading...